Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIKU YA WANAWAKE: Malengo ya milenia yamefikiwa?

>“Chochea Mabadiliko Kuleta Usawa wa Kijinsia,” hii ni kaulimbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa Mwaka 2014. Hata hivyo, leo wakati wanawake duniani kote wakisherehekea siku hii muhimu kwao, ni mwaka mmoja mmoja umebakia ili kutimiza malengo ya milenia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Malengo ya Milenia:TZ

Tanzania imefanikiwa kutimiza lengo namba 4 la malengo ya maendeleo ya milenia.

 

11 years ago

Habarileo

SMZ yavuka malengo ya milenia

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar tayari imesema imefanikiwa kuyafikia Malengo ya Milenia ya kuimarisha na kusambaza huduma za Elimu hadi vijijini ambapo kwa sasa hakuna mwanafunzi anayetembea kilomita nne kutafuta elimu.

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau wakosoa Malengo ya Milenia

Baadhi ya wadau wa maendeleo wamekosoa ripoti ya Malengo ya Milenia iliyotolewa na mwakilishi wa Wizara ya Fedha katika mjadala ulioandaliwa na Taasisi ya Policy Forum jijini Dar es Salaam jana.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania yajivunia utekelezaji malengo ya milenia

>Zikiwa zimebaki siku zaidi ya 500 kufikia   hitimisho la  utekelezaji wa  Malengo ya  Maendeleo ya Milenia (MDGs),   Tanzania  imebainisha  kuwa, mafanikio yake katika utekelezaji wa malengo hayo  kumetokana na  kujituma kwa  Serikali  ambako  kulivutia washirika wa maendeleo.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania yashindwa kufikia malengo ya milenia

 Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF) imesema wakati muda wa utekelezaji wa malengo ya milenia ukikaribia kufika mwisho ifikapo mwaka 2015, Tanzania bado ni maskini.

 

11 years ago

Habarileo

JK ataka Malengo ya Milenia kuendelea kutekelezwa

RAIS Jakaya Kikwete ameitaka Jumuiya ya Kimataifa kuhakikisha kuwa Malengo ya Milenia yanatekelezwa kwa ukamilifu hata baada ya kuisha muda uliowekwa wa kuyatimiza, kabla ya kuweka malengo mengine duniani.

 

10 years ago

Habarileo

Ulemavu wa kutoona waathiri Malengo ya Milenia

SERIKALI imesema ulemavu wa kutokuona unaathiri juhudi zinazosaidia kufikiwa kwa Malengo ya Maendeleo ya Milenia likiwemo la kuondoa umasikini uliokithiri.

 

10 years ago

Habarileo

Shein asifiwa kutimiza malengo ya milenia

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed SheinJUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) imesema Serikali ya Zanzibar inayoongozwa na Rais Dk Ali Mohamed Shein imeyafikia malengo ya milenia kutokana na utendaji wake wa ufanisi, kama tamko hilo lilivyoazimiwa na Umoja wa Mataifa.

 

10 years ago

Habarileo

Azaki zataka maandalizi Malengo mapya ya Milenia

Mwenyekiti wa SAHRINGON, Martina Kabisama ASASI za kiraia nchini (AZAKI) zimeiomba serikali kuongeza juhudi katika kuelimisha wananchi juu ya Malengo Endelevu ya Maendeleo (SDG’S), yanayotarajiwa kuanza kutekelezwa kuanzia mwaka 2016 hadi 2030.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani