Azaki zataka maandalizi Malengo mapya ya Milenia
ASASI za kiraia nchini (AZAKI) zimeiomba serikali kuongeza juhudi katika kuelimisha wananchi juu ya Malengo Endelevu ya Maendeleo (SDG’S), yanayotarajiwa kuanza kutekelezwa kuanzia mwaka 2016 hadi 2030.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog15 Aug
ActionAid yakutanisha wadau kujadili malengo mapya ya milenia
![Wakili wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Honestus Michael Kulaya akiwasilisha mada katika semina iliyoandaliwa na taasisi ya Landesa.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0478.jpg)
Wakili wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Honestus Michael Kulaya akiwasilisha mada katika semina iliyoandaliwa na taasisi ya Landesa.
Wakili wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Honestus Michael Kulaya (mbele) akiwasilisha mada katika semina iliyoandaliwa na taasisi ya Landesa.
![Mwakilishi wa taasisi ya Landesa na ActionAid akizungumza kufungua semina ya wadau mbalimbali kutoka asasi na mashirika ya kutetea jamii kwa ajili ya kujadili malengo mapya ya milenia 'Post 2015 Sustainable Development Agenda'.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0465.jpg)
Mwakilishi wa taasisi ya Landesa na ActionAid akizungumza kufungua semina ya wadau mbalimbali kutoka asasi na mashirika ya kutetea jamii kwa ajili ya kujadili malengo mapya ya milenia...
10 years ago
BBCSwahili03 Jul
Malengo ya Milenia:TZ
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Wadau wakosoa Malengo ya Milenia
11 years ago
Habarileo09 Jan
SMZ yavuka malengo ya milenia
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar tayari imesema imefanikiwa kuyafikia Malengo ya Milenia ya kuimarisha na kusambaza huduma za Elimu hadi vijijini ambapo kwa sasa hakuna mwanafunzi anayetembea kilomita nne kutafuta elimu.
11 years ago
Habarileo30 May
JK ataka Malengo ya Milenia kuendelea kutekelezwa
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka Jumuiya ya Kimataifa kuhakikisha kuwa Malengo ya Milenia yanatekelezwa kwa ukamilifu hata baada ya kuisha muda uliowekwa wa kuyatimiza, kabla ya kuweka malengo mengine duniani.
11 years ago
Mwananchi15 Jun
Tanzania yashindwa kufikia malengo ya milenia
10 years ago
Habarileo10 Oct
Ulemavu wa kutoona waathiri Malengo ya Milenia
SERIKALI imesema ulemavu wa kutokuona unaathiri juhudi zinazosaidia kufikiwa kwa Malengo ya Maendeleo ya Milenia likiwemo la kuondoa umasikini uliokithiri.
11 years ago
Mwananchi08 Mar
SIKU YA WANAWAKE: Malengo ya milenia yamefikiwa?
10 years ago
Habarileo30 Aug
Shein asifiwa kutimiza malengo ya milenia
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) imesema Serikali ya Zanzibar inayoongozwa na Rais Dk Ali Mohamed Shein imeyafikia malengo ya milenia kutokana na utendaji wake wa ufanisi, kama tamko hilo lilivyoazimiwa na Umoja wa Mataifa.