Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yakaza mwendo kufanikisha malengo ya milenia

Balozi Mero alipokutana na Dkt. Chan mjini Geneva, Uswisi
Wakati zikiwa zimesalia siku zisizozidi elfu moja kufikia kikomo cha utekelezaji wa malengo ya maendeleo ya milenia mwaka 2015 mwakilishi wa kudumu wa Tanzania  katika Umoja wa Mataifa mjini Geneva balozi Modest Jonathan Mero amesema sekta ya afya inahitaji msukumo zaidi katika kutekeleza malengo hayo. Katika mahojiano maalum na idhaa hii Balozi Mero ambaye hivi karibuni alikutana na Mkuu wa shirika la afya duniani Magreth Chan,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tanzania yajivunia utekelezaji malengo ya milenia

>Zikiwa zimebaki siku zaidi ya 500 kufikia   hitimisho la  utekelezaji wa  Malengo ya  Maendeleo ya Milenia (MDGs),   Tanzania  imebainisha  kuwa, mafanikio yake katika utekelezaji wa malengo hayo  kumetokana na  kujituma kwa  Serikali  ambako  kulivutia washirika wa maendeleo.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania yashindwa kufikia malengo ya milenia

 Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF) imesema wakati muda wa utekelezaji wa malengo ya milenia ukikaribia kufika mwisho ifikapo mwaka 2015, Tanzania bado ni maskini.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yajivunia kufikia malengo ya milenia katika afya, elimu

DSC_0564

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, John Haule (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu wiki ya Umoja wa Mataifa inayotarajiwa kuanza kuadhimishwa Ijumaa wiki hii (kushoto) ni Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez.

Na Mwandishi Wetu

KATIBU MKUU wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, John Haule amesema serikali ya Tanzania imefikia kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Wizara ya Fedha ya kutana na uongozi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) nakujadili jinsi ya kufanikisha awamu ya pili ya mfuko huo nchini Tanzania.

Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue naye alikuwepo katika ujumbe huo.Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akifurahia jambo na Mkuu wa mambo ya uchumi wa Mfuko wa changamoto za milenia. Wakiwa pamoja na Kamishna wa Fedha za Nje Bw. Saidi Ngosha Magonya.Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile akifurahia jambo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue. Wakishuhudiwa na Bw. Abbas Abeid Missana...

 

10 years ago

BBCSwahili

Malengo ya Milenia:TZ

Tanzania imefanikiwa kutimiza lengo namba 4 la malengo ya maendeleo ya milenia.

 

11 years ago

Habarileo

SMZ yavuka malengo ya milenia

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar tayari imesema imefanikiwa kuyafikia Malengo ya Milenia ya kuimarisha na kusambaza huduma za Elimu hadi vijijini ambapo kwa sasa hakuna mwanafunzi anayetembea kilomita nne kutafuta elimu.

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau wakosoa Malengo ya Milenia

Baadhi ya wadau wa maendeleo wamekosoa ripoti ya Malengo ya Milenia iliyotolewa na mwakilishi wa Wizara ya Fedha katika mjadala ulioandaliwa na Taasisi ya Policy Forum jijini Dar es Salaam jana.

 

11 years ago

Mwananchi

SIKU YA WANAWAKE: Malengo ya milenia yamefikiwa?

>“Chochea Mabadiliko Kuleta Usawa wa Kijinsia,” hii ni kaulimbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa Mwaka 2014. Hata hivyo, leo wakati wanawake duniani kote wakisherehekea siku hii muhimu kwao, ni mwaka mmoja mmoja umebakia ili kutimiza malengo ya milenia.

 

10 years ago

Habarileo

Ulemavu wa kutoona waathiri Malengo ya Milenia

SERIKALI imesema ulemavu wa kutokuona unaathiri juhudi zinazosaidia kufikiwa kwa Malengo ya Maendeleo ya Milenia likiwemo la kuondoa umasikini uliokithiri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani