Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AKDN kuwekeza trilioni elimu, afya

>Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN) umedhamiria kufanya uwekezaji unaofikia kiasi cha Dola za Marekani bilioni moja sawa na Shkatika kipindi cha miaka michache ijayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali yashauriwa kuwekeza elimu ya awali

Walimu wa Elimu ya Awali (Chekechea), Mkoa wa Tanga wamezidua tawi la chama chao, huku wakielekeza lawama kwa jamii na Serikali kwa kushindwa kuwapa kipaumbele.

 

11 years ago

Michuzi

WAZAZI WATAKIWA KUWEKEZA KATIKA ELIMU

 Mbunge wa jimbo la Kilolo Prof. Peter Msola akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mwatasi katika kata ya Bomalang'ombe katika jimbo la Kilolo wilayani Kilolo Mkoani Iringa.
 baadhi ya wakazi wa kijiji cha Mwatasi waliohudhuria mkutano wa hadhara katika kiwanja cha shule ya msingi Mwatasi wakisikiliza hotuba ya mbunge wao Prof Peter Msola
 Mmoja wa wakazi wa jimbo la Kilolo, Ayubu Sanga akitoa taarifa ya kijiji cha Mwatasi mbele ya Mbunge wa jimbo hilo Prof. Peter Msola

 -============  Na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania watakiwa kuwekeza kwenye elimu

WATANZANIA wametakiwa kuwekeza katika elimu na kushirikiana kuleta mabadiliko kwenye sekta ya elimu badala ya kuwaachia wanasiasa pekee. Rai hiyo ilitolewa mjini hapa mwishoni mwa wiki na Mkuu wa Shule...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Waislamu washauriwa kuwekeza kwenye elimu

WAUMINI wa Dini ya Kiislamu wametakiwa kuwekeza mali na fedha zao kwenye elimu hususan kwa watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi na yatima ili waweze kujikwamua kimasomo. Ushauri huo umetolewa na...

 

9 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WATAKIWA KUWEKEZA KWENYE ELIMU

Na Woinde Shizza,ArushaWanafunzi wametakiwa kuwekeza katika elimu, kwani elimu ndio ufunguo wa maisha ya sasa na ya baadaye ikiwemo kufanya kazi kwa vitendo ,na mashiko vitavyowasaidia kwenye maisha yao ya sasa na baadae sanjari na kulijenga taifa lao.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa utawala na uongozi wa chuo cha Habari maalum,Mr Ernest Karata wakati wa mahafali ya kwanza ya chuo cha Full Bright college kilichopo Ngaramtoni,wilaya ya Arumeru mkoani Arusha. 
Katika mahafali hayo wanafunzi  wanane...

 

11 years ago

Habarileo

Paras India yaonesha nia kuwekeza afya nchini

UJUMBE wa uongozi wa juu wa Shirika la Afya la Paras la nchini India linalomiliki hospitali za ngazi ya kimataifa, umewasili jijini Dar es Salaam jana ambapo pamoja na mambo mengine umeanza mchakato kuwekeza katika sekta ya afya. Ujumbe huo ukiongozwa na Naibu Meneja wa Hospitali hizo anayehusika na Uhusiano wa Kimataifa, Anuradha Sharma, ulipokelewa na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Yono Auction Mart ambaye ni Mbunge wa zamani wa Njombe Magharibi, Yono Kevela.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Pinda ataka sekta binafsi kuwekeza masuala ya afya

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amewataka wataalamu wa afya kuangalia namna Sekta binafsi zinaweza kuwekeza katika masuala ya afya ili kuisaidia serikali katika kusimamia na kuendesha shughuli za utoaji huduma ambazo...

 

10 years ago

Habarileo

Esther Bulaya ataka wazazi kuwekeza kwenye elimu

MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia kundi la vijana kutoka mkoani Mara, Esther Bulaya amewataka wazazi na wananchi kwa ujumla kuwekeza kwenye elimu kwani ndio msingi wa maisha.

 

9 years ago

Michuzi

Mzumbe yawataka watanzania kuwekeza elimu kwa vijana

Watanzania wametakiwa kuwekeza kwa kuwapatia vijana wao elimu ya juu ili kuwawezesha kuwa na maarifa yatakayowasaidia katika maisha yao na kutoa mchango kwa taifa.  Akizungumza katika mahafali ya 14 ya Chuo Kikuu Mzumbe, Kaimu Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Josephat Itika alisema elimu bora ndio njia ambayo itaweza kuwezesha vijana kufanikiwa na taifa kupata maendeleo endelevu.  “Elimu ndio chachu ya kweli ya maendeleo, ni lazima wazazi na walezi kuzingatia hili,” alisema Prof. Itika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani