WANAFUNZI WATAKIWA KUWEKEZA KWENYE ELIMU
![](http://3.bp.blogspot.com/-DLxo70HRoeM/VfrdLUqqRhI/AAAAAAAH5mc/ooHr1XVWAL0/s72-c/Graduation%2B10.jpg)
Na Woinde Shizza,ArushaWanafunzi wametakiwa kuwekeza katika elimu, kwani elimu ndio ufunguo wa maisha ya sasa na ya baadaye ikiwemo kufanya kazi kwa vitendo ,na mashiko vitavyowasaidia kwenye maisha yao ya sasa na baadae sanjari na kulijenga taifa lao.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa utawala na uongozi wa chuo cha Habari maalum,Mr Ernest Karata wakati wa mahafali ya kwanza ya chuo cha Full Bright college kilichopo Ngaramtoni,wilaya ya Arumeru mkoani Arusha.
Katika mahafali hayo wanafunzi wanane...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Watanzania watakiwa kuwekeza kwenye elimu
WATANZANIA wametakiwa kuwekeza katika elimu na kushirikiana kuleta mabadiliko kwenye sekta ya elimu badala ya kuwaachia wanasiasa pekee. Rai hiyo ilitolewa mjini hapa mwishoni mwa wiki na Mkuu wa Shule...
11 years ago
MichuziWAZAZI WATAKIWA KUWEKEZA KATIKA ELIMU
-============ Na...
10 years ago
Tanzania Daima08 Nov
Wanawake watakiwa kuwekeza kwenye ardhi
WANAWAKE wajasiriamali mkoani Tanga wametakiwa kuwekeza kwenye ardhi ili kujikwamua kiuchumi kwani kilimo ni mkombozi katika kuinua uchumi. Rai hiyo imetolewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni mstaafu...
10 years ago
Tanzania Daima07 Nov
Waislamu washauriwa kuwekeza kwenye elimu
WAUMINI wa Dini ya Kiislamu wametakiwa kuwekeza mali na fedha zao kwenye elimu hususan kwa watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi na yatima ili waweze kujikwamua kimasomo. Ushauri huo umetolewa na...
10 years ago
Habarileo05 Oct
Esther Bulaya ataka wazazi kuwekeza kwenye elimu
MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia kundi la vijana kutoka mkoani Mara, Esther Bulaya amewataka wazazi na wananchi kwa ujumla kuwekeza kwenye elimu kwani ndio msingi wa maisha.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Y2rVtjU9ziw/XmoeczA4OII/AAAAAAALiuc/g7SLG3gmjmkPj7Kz4vOW_6x9g_TVANXlgCLcBGAsYHQ/s72-c/8de392a2-fbdf-4daa-852c-4db5fb536ace.jpg)
SERIKALI YAFURAHISHWA NA JITIHADA ZA WILAYA YA CHATO KATIKA KUWEKEZA KWENYE ELIMU
Mweli ameyasema hayo wakati alipotembelea Wilaya hiyo na kukutana na Menejimenti, Walimu pamoja na kukagua ujenzi wa shule mbalimbali zilizoboreshwa na zinazoendelea kuboreshwa Wilayani hapo.
Mweli amesema anatambua jitihada kubwa zinazofanywa katika eneo hili la Elimu ikiwa ni pamoja na kuanzisha ...
11 years ago
Mwananchi28 Jul
Watakiwa kuwekeza maeneo yenye migodi
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Hq2Or6ttIbc/VVRc_qDquWI/AAAAAAAHXNA/3pqmVOfTgvc/s72-c/unnamed%2B(64).jpg)
Waziri wa Elimu atembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania kwenye maonyesho ya Elimu mjini Dodoma
![](http://4.bp.blogspot.com/-Hq2Or6ttIbc/VVRc_qDquWI/AAAAAAAHXNA/3pqmVOfTgvc/s640/unnamed%2B(64).jpg)
10 years ago
GPLDALADALA, UDA WATAKIWA KUWEKEZA KATIKA MABASI YAENDAYO KASI DAR