WACHINA WAONESHA NIA KUWEKEZA SEKTA YA MADINI
![](http://api.ning.com:80/files/S5oOR1dkyIk-S-Fp8DaWTLpNP9Wp3hOy2yx1-FksDrjjPzkeT-9bDUYcSwXvASqwYA7fPANVmjUwHHfGg7L1EWsuWFuG0uYr/ziri1.jpg?width=650)
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akiongea na Wawekezaji wa Kampuni ya Chinalco ya nchini China waliokuja nchini kwa lengo la kujadiliana na Viongozi Waandamizi wa Wizara kuhusu fursa za uwekezaji hususan katika sekta ya madini. Wawekezaji wa Kampuni ya Chinalco ya nchini China wakiongea na Waziri Muhongo Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema Wizara yake imejipanga kuhakikisha...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-HSuUDFknyEQ/U-2bMXdFksI/AAAAAAAF_uc/6rgPuiaI4MM/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
Wachina waonesha nia kuwekeza sekta ya madini, wakutana na Muhongo, Maswi, muhongo asisitiza hakuna kusafirisha madini ghafi
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7FSFx2brVXI/VBrPGqHWEbI/AAAAAAAGkQ8/y-GlMjFynOc/s72-c/unnamed%2B(75).jpg)
SERIKALI, MAKAMPUNI YA MADINI ‘KUWANOA’ WAZAWA KATIKA USHIRIKISHWAJI SEKTA YA MADINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-7FSFx2brVXI/VBrPGqHWEbI/AAAAAAAGkQ8/y-GlMjFynOc/s1600/unnamed%2B(75).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-hPjaf_89fwI/VBrPCfElBeI/AAAAAAAGkQk/2vucvxi2qlk/s1600/unnamed%2B(76).jpg)
10 years ago
Vijimambo13 May
TEITI YAWANOA WANDISHI WA HABARI WA BIASHARA NA MADINI JUU YA UWAI SEKTA YA MADINI
![41](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/05/411.jpg)
![1](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/05/12.jpg)
10 years ago
MichuziMH. KITWANGA AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI NA TAASISI ZINAZOSIMAMIA SEKTA YA MADINI NCHINI
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/05/411.jpg?width=650)
TEITI YAWANOA WANDISHI WA HABARI WA BIASHARA NA MADINI JUU YA UWAI SEKTA YA MADINI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-rcQZ-rKDDhQ/VNCmKPgyx2I/AAAAAAAHBRE/-IgLPlTyqt4/s72-c/unnamed%2B(27).jpg)
uhaba wa walimu na watalamu wa kundisha namna ya ukataji vito na madini ni tatizo kubwa katika sekta ya madini
Sekta ya madini nchini bado inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo uhaba wa walimu na wataalamu wa kufundisha namna ya ukataji wa vito vya madini hali inayosababisha kuuzwa kwa madini ghafi nje ya nchi na kupelekea kuuzwa kwa bei ya chini na pesa nyingi kwenda nje ya nchi .
Hayo yameelezwa na mratibu wa kituo cha Jimolojia Tanzania,Musa Shanyangi wakati akiongea na waandishi wa habari katika kituo hicho kinachotoa mafunzo ya ukataji madini ya vito,ambapo wameanza...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-gTluFN2a4mg/XlLcbpRwB2I/AAAAAAALe8Y/-raTNItJdVU6J1qBiEv-MndVydSZuSxhgCLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_0667AA-1024x656.jpg)
MCHANGO WA SEKTA YA MADINI UMEZIDI KUIMARIKA NCHINI, SERIKALI TUNAFURAHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA SEKTA HIYO- WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema mchango wa sekta ya madini umezidi kuimarika hapa nchini na kwamba Serikali kwa upande wake imeridhishwa na utendaji kazi wa sekta hiyo kupitia Wizara ya Madini.
Ameyasema hayo leo Februari 23,2020 wakati akizungumza na wawekezaji katika sekta ya madini hapa nchini mkutano uliofanyika katika kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mwalimu Nyerere(JNICC), jinini Dar es Salaam leo.
Amefafanua kuwa sekta ya madini hapa nchini...
11 years ago
Habarileo22 Jan
Paras India yaonesha nia kuwekeza afya nchini
UJUMBE wa uongozi wa juu wa Shirika la Afya la Paras la nchini India linalomiliki hospitali za ngazi ya kimataifa, umewasili jijini Dar es Salaam jana ambapo pamoja na mambo mengine umeanza mchakato kuwekeza katika sekta ya afya. Ujumbe huo ukiongozwa na Naibu Meneja wa Hospitali hizo anayehusika na Uhusiano wa Kimataifa, Anuradha Sharma, ulipokelewa na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Yono Auction Mart ambaye ni Mbunge wa zamani wa Njombe Magharibi, Yono Kevela.
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
PHILEMON NDESAMBURO: Watanzania wana nia kuwekeza kwenye gesi
HIVI karibuni viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walianza ziara katika mikoa ya Kigoma, Mwanza, Tabora na Singida, lengo likiwa ni kukiimarisha chama. Mbali na mikutano hiyo ya...