China, TPSF kufanya maonyesho ya bidhaa nchini
Wizara ya Biashara na Uchumi ya Jamhuri ya Watu wa China kwa kushirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), wanatarajia kufanya maonyesho ya nne ya bidhaa zao nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi09 Sep
China, TPSF waandaa maonyesho ya bidhaa nchini
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-xRm9UNPlQ7s/U_YU_WgeWxI/AAAAAAAGBNo/6WwnSZpwVUk/s72-c/unnamed.jpg)
Mh. Kigoda afungua maonyesho ya bidhaa zinazozalishwa nchini China leo jijini Dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-xRm9UNPlQ7s/U_YU_WgeWxI/AAAAAAAGBNo/6WwnSZpwVUk/s1600/unnamed.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-LeiXwld-phc/U_YU351mhgI/AAAAAAAGBM4/571j1gbbD8E/s1600/unnamed%2B(94).jpg)
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara afungua maonyesho ya bidhaa za China ukumbi wa Diamond Jubilee
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa kufungua maonyesho ya bidhaa za China 2015, katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Mpiga picha wetu).
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa (katikati) akikata utepe kufungua maonyesho ya bidhaa za China 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa...
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA CHINA 2015, DAR ES SALAAM LEO
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
TPSF kuanzisha soko la bidhaa ghafi
TAASISI ya Sekta Binafsi (TPSF) inatarajia kuanzisha soko la bidhaa ghafi litakalowasaidia wakulima kuwa na bei elekezi za mazao yao. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Mwenyekiti...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-x1-4RXOKCv0/VVm0R7SUf2I/AAAAAAAHYA0/VoSsh6H_igM/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA NCHINI CHINA
![](http://4.bp.blogspot.com/-x1-4RXOKCv0/VVm0R7SUf2I/AAAAAAAHYA0/VoSsh6H_igM/s640/01.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-WtRf9RFHwkE/VVm0RIwbMqI/AAAAAAAHYAw/DJAGk_mSqBs/s640/02.jpg)
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/01/313.jpg)
CHINA WORD BUZ YAELEZEA NJIA MBADALA ZITAKAZOPUNGUZA GHARAMA ZA WAFANYABIASHARA WADOGO KUFUATA BIDHAA CHINA
9 years ago
Dewji Blog09 Sep
Maonesho ya bidhaa toka China (Brands of China) kurindima Sept 10 hadi 13 ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar
Mkurugenzi wa Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA), Daniel Machemba akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa maonesho ya bidhaa toka China (Brands of China) yanayotarajiwa kuanza Sept 10 hadi 13 mwaka huu katika ukumbi Diamond Jubilee.
Mkurugenzi wa huduma za wanachama wa TPSF, Louis Accaro (kulia) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA), Daniel Machemba wakati wa uzinduzi...