Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabasi chakavu yapelekwa Lindi, Mtwara

OPERESHENI maalumu iliyofanywa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imebaini mabasi yanayokwenda katika mikoa ya kusini mengi yamechakaa na hakuna basi la daraja la kwanza.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wakazi wa Mtwara na Lindi kushuhudia fursa za Utalii na Uchumi kupitia Tamasha la Utamaduni la Mtwara,Waziri mkuu pinda kuwa mgeni rasmi.

 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Tamasha la Mkoa wa Mtwara, ‘Mtwara Festival’, linatarajia kufungua milango ya fursa kwa wakazi wa mikoa ya Mtwara na Lindi katika kuziona fursa kadhaa kwenye sekta ya Utalii na Uchumi.Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika kwa siku mbili kuanzia mwezi Agosti 16 na 17 mwaka huu kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona  ulipo Mtwara mjini. Mgeni rasmi katika Tamasha hilo anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda huku likiwa na kauli mbiu isemayo ‘Fursa Zimefunguka,...

 

11 years ago

Habarileo

Mtwara,Lindi kuwa ya kisasa

UCHUMI wa gesi unaotarajiwa kuinua maisha ya Watanzania, umesababisha Rais Jakaya Kikwete kuagiza maandalizi ya haraka ya ujenzi wa majiji ya kisasa katika miji ya Mtwara na Lindi. Akizungumza juzi na Waziri wa Nyumba, Makazi na Maendeleo ya Miji na Vijiji wa China, Jiang Weixin Ikulu, Zanzibar, Rais Kikwete aliomba nchi hiyo kusaidia kupanga miji ya kimkakati ya Mtwara, Lindi na Kigamboni, Dar es Salaam.

 

11 years ago

IPPmedia

NIDA: Lindi, Mtwara next in registration


NIDA: Lindi, Mtwara next in registration
IPPmedia
The National Identification Authority (NIDA) is to begin registering residents of Lindi and Mtwara regions after completion of the exercise in Pemba and Unguja Islands which started in February this year. NIDA Head of Communications, Thomas William told ...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA KUANZA ZIARA LINDI NA MTWARA



Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti,CCM Ofisi ndogo Lumumba.


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana anatarajia kufanya ziara katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sekretarieti,Lumumba jijini Dar es salaam Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye alisema kuwa Ziara hiyo ni mwendelezo wa ziara za Sekretarieti ya Halmashauri Kuu Taifa...

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA APATA WADHAMINI LINDI, MTWARA

Mmoja wa wana CCM waliomdhamini Mh. Lowassa, mkoani Mtwara, akimuombea dua" Ni furaha tupu", mama huyu wa mkoani Mtwara, akiwa na furaha wakati akisalimiana na Mh. LowassaMh. Lowassa, akisalimiana na mzee huyu wa mkoani MtwaraMh. Lowassa, (mwenye nywele nyeupe juu kulia), akitoa shukrani zake kwa wana CCM na maelfu ya wakazi wa mkoa wa Lindi, waliofurika kwenye ofisi za ccm mkoani humo, alkipofika kuomba wana CCM wa kumdhamini. Mkoani Lindi alipata udhamini wa wana CCM 3, 279Umati wa watu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtwara, Lindi wahimizwa kuchangamkia fursa

WANANCHI wa mikoa ya Lindi na Mtwara, wametakiwa kuchangamkia fursa zinazotokana na kuongezeka kwa uwekezaji katika mikoa hiyo kutokana na kugundulika kwa gesi asilia. Akizungumza na Waandishi wa Habari katika...

 

10 years ago

Vijimambo

LINDI NA MTWARA HATARINI KUINGIA GIZANI

Mikoa ya mtwara na lindi iko hatarini kuingia gizani kutokana na kiwanda kilichopo msimbati kinachotumika kuchakata gesi inayotumika kufua umeme katika mikoa hiyo sehemu ya ardhi yake mita miamoja na sita, kumezwa na maji ya bahari na kubakia mita 25 kufika eneo la kiwanda.Akizungumza na vyombo vya habari katika eneo la tukio naibu waziri nishati na madini mheshimiwa CHARLES KITWANGA amesema tukio hilo limetokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika nchi za malawi na msubiji na hivyo...

 

10 years ago

Habarileo

Mikutano ya siasa Lindi, Mtwara ruksa

SERIKALI imeondoa zuio la mikutano ya vyama vya siasa lililokuwa limewekwa tangu mwaka juzi kwa mikoa ya Lindi na Mtwara. Katika taarifa ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, anasema hatua hiyo imetokana na Serikali kuridhika kuwa hali ya amani na utulivu imerejea katika mikoa hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani