LINDI NA MTWARA HATARINI KUINGIA GIZANI
Mikoa ya mtwara na lindi iko hatarini kuingia gizani kutokana na kiwanda kilichopo msimbati kinachotumika kuchakata gesi inayotumika kufua umeme katika mikoa hiyo sehemu ya ardhi yake mita miamoja na sita, kumezwa na maji ya bahari na kubakia mita 25 kufika eneo la kiwanda.Akizungumza na vyombo vya habari katika eneo la tukio naibu waziri nishati na madini mheshimiwa CHARLES KITWANGA amesema tukio hilo limetokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika nchi za malawi na msubiji na hivyo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Mtwara, Lindi, Ruvuma kuingia digitali mwakani
11 years ago
MichuziWakazi wa Mtwara na Lindi kushuhudia fursa za Utalii na Uchumi kupitia Tamasha la Utamaduni la Mtwara,Waziri mkuu pinda kuwa mgeni rasmi.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Tamasha la Mkoa wa Mtwara, ‘Mtwara Festival’, linatarajia kufungua milango ya fursa kwa wakazi wa mikoa ya Mtwara na Lindi katika kuziona fursa kadhaa kwenye sekta ya Utalii na Uchumi.Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika kwa siku mbili kuanzia mwezi Agosti 16 na 17 mwaka huu kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona ulipo Mtwara mjini. Mgeni rasmi katika Tamasha hilo anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda huku likiwa na kauli mbiu isemayo ‘Fursa Zimefunguka,...
11 years ago
Habarileo15 Jan
Mtwara,Lindi kuwa ya kisasa
UCHUMI wa gesi unaotarajiwa kuinua maisha ya Watanzania, umesababisha Rais Jakaya Kikwete kuagiza maandalizi ya haraka ya ujenzi wa majiji ya kisasa katika miji ya Mtwara na Lindi. Akizungumza juzi na Waziri wa Nyumba, Makazi na Maendeleo ya Miji na Vijiji wa China, Jiang Weixin Ikulu, Zanzibar, Rais Kikwete aliomba nchi hiyo kusaidia kupanga miji ya kimkakati ya Mtwara, Lindi na Kigamboni, Dar es Salaam.
11 years ago
IPPmedia14 May
NIDA: Lindi, Mtwara next in registration
NIDA: Lindi, Mtwara next in registration
IPPmedia
The National Identification Authority (NIDA) is to begin registering residents of Lindi and Mtwara regions after completion of the exercise in Pemba and Unguja Islands which started in February this year. NIDA Head of Communications, Thomas William told ...
10 years ago
VijimamboKINANA KUANZA ZIARA LINDI NA MTWARA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti,CCM Ofisi ndogo Lumumba.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana anatarajia kufanya ziara katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sekretarieti,Lumumba jijini Dar es salaam Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye alisema kuwa Ziara hiyo ni mwendelezo wa ziara za Sekretarieti ya Halmashauri Kuu Taifa...
10 years ago
Habarileo08 Oct
Mikutano ya siasa Lindi, Mtwara ruksa
SERIKALI imeondoa zuio la mikutano ya vyama vya siasa lililokuwa limewekwa tangu mwaka juzi kwa mikoa ya Lindi na Mtwara. Katika taarifa ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, anasema hatua hiyo imetokana na Serikali kuridhika kuwa hali ya amani na utulivu imerejea katika mikoa hiyo.
10 years ago
Habarileo03 Sep
Mabasi chakavu yapelekwa Lindi, Mtwara
OPERESHENI maalumu iliyofanywa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imebaini mabasi yanayokwenda katika mikoa ya kusini mengi yamechakaa na hakuna basi la daraja la kwanza.
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Mtwara, Lindi wahimizwa kuchangamkia fursa
WANANCHI wa mikoa ya Lindi na Mtwara, wametakiwa kuchangamkia fursa zinazotokana na kuongezeka kwa uwekezaji katika mikoa hiyo kutokana na kugundulika kwa gesi asilia. Akizungumza na Waandishi wa Habari katika...