Video 2 za Diamond zatafuna mil. 132/-
STAA wa muziki wa Bongo fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’, amesema video zake za ‘Mdogo mdogo’ na ‘ Bum bum’ zimegharimu dola 78,000; zaidi ya shilingi milioni 132 za Tanzania....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo09 Mar
Mradi umeme wa upepo kutumia dola mil.132
MKUU wa Kitengo cha Miundombinu na Nishati kutoka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) , Pascal Malesa amesema serikali inatarajia kutumia Dola za Marekani milioni 132 kukamilisha mradi wa kuzalisha umeme wa upepo wenye uwezo wa Megawati 50 ifikapo mwakani.
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Zabuni zatafuna mabilioni ya fedha nchini
>Wakati matukio kadhaa ya ufisadi wa mamilioni ya fedha za umma yakiwa bado yanaendelea kujadiliwa nchini, imeelezwa kuwa Serikali hupoteza kiasi kikubwa cha fedha kwenye zabuni.
10 years ago
GPL
DIAMOND AFIKISHA MASHABIKI MIL. 1 INSTAGRAM
Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'. STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amefikisha mashabiki milioni moja katika ukurasa wake wa Instagram. Staa huyo anayekimbiza na ngoma yake ya Nana aliyomshirikisha staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Mr. Flavour amekuwa Mtanzania wa kwanza kufikisha idadi ya mashabiki hao. Diamond akiwa na mwanaye Princess Tiffah. Tovuti hii inachukua fursa hii kumpongeza Diamond a.k.a 'Baba...
11 years ago
GPL
DIAMOND KUMNUNULIA WEMA JUMBA LA MIL 125
Na Waandishi Wetu
STAA wa Bongo Fleva mwenye mbwembwe kibao, pia anasifika kwa kuwa msafi na anasemekana ndiye mwenye mkwanja wa nguvu Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ anadaiwa yuko kwenye mchakato wa kumnunulia jumba la kifahari mpenzi wake wa ‘nenda rudi’, Wema Sepetu, Amani limeinyaka hii. KUNA SABABU?
Kwa mujibu wa chanzo, Diamond ameamua kuingia kwenye kujikamua huko kufuatia taarifa kwamba,...
10 years ago
GPL
ZARI AMPA DIAMOND GARI LA MIL.500
Musa mateja
MAMA kijacho wa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, amewadhihirishia mashabiki wa bwana’ke huyo kuwa yuko fiti kifedha kwa kumpatia gari aina ya Ferrari 548 Spider lenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 500. Mama kijacho wa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’....
10 years ago
GPL
TIFFAH WA DIAMOND APEWA BENZ LA MIL. 200!
Musa mateja Kazi ipo mwaka huu! Ndugu wa mzazi mwenzake na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wamempa zawadi mtoto wa mastaa hao, Latiffah Nasibu ‘Princess Tiffah’ ndinga aina ya Mercedes Benz MSL Benz lenye thamani ya dola 100,000 (zaidi Sh. milioni 200).  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1JckTiT ...
10 years ago
GPL
DIAMOND APATA MSHTUKO DENI LA MIL.800
Musa Mateja/mchanganyiko
MSANII nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amepatwa na mshtuko mkubwa baada ya kuwepo madai ya kudaiwa kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 800 na serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Risasi Mchanganyiko linakupa mchapo kamili. Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. ILIKUWAJE?
Mwishoni...
10 years ago
TheCitizen30 Oct
CCM bags 132 constituencies
The results announced by returning officers in respective constituencies indicated that CCM still occupied in its strongholds in Morogoro, Dodoma, Tanga, Tabora and Mtwara regions.
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Watoto 132 wazaliwa mkesha wa Krismasi, Wakiume 77 na wakike 55.
Watoto 132 wamezaliwa usiku wa kuamkia Sikukuu ya Krismasi katika mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Morogoro.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
05-May-2025 in Tanzania