Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto 132 wazaliwa mkesha wa Krismasi, Wakiume 77 na wakike 55.

Watoto 132 wamezaliwa usiku wa kuamkia Sikukuu ya Krismasi katika mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Morogoro.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Watoto 124 wazaliwa mkesha wa Krismasi

Wakina mama Husna Mohamed (kulia)  na Amina Abdallah (kushoto) wakiwa na watoto wachanga baada ya kujifungua usiku wa Noeli katika Hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Wetu).WATOTO 124 wakiwemo wa kiume 80 wamezaliwa katika mkesha wa Siku Kuu ya Krismasi katika hospitali za Dar es Salaam huku wengi wakiwa wa kiume.

 

9 years ago

Mwananchi

79 wazaliwa Dar mkesha wa Krismasi

Jumla ya watoto 79 wamezaliwa katika mkesha wa Sikukuu ya Krismasi katika hospitali za rufaa za mkoa wa Dar es Salaam. Kati ya idadi hiyo, watoto wawili wamezaliwa njiti katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili na hali zao zinaendelea vizuri.

 

10 years ago

Michuzi

WATOTO 63 WAZALIWA MKESHA WA MWAKA MPYA 2015

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii 
Jumla ya watoto 63 wamezaliwa katika mkesha wa mwaka mpya 2015 katika hospitali za Temeke,Kinondoni pamoja na Ilala jijini Dar es Salaam.
Hospitali ya Temeke wamezaliawa watoto 19,Muuguzi wa zamu ,Rolester Kinunda alisema watoto 10 ni wakiume na tisa (9) ni wa kike  na wazazi wa watoto hao wamejifungua salama na wameshapewa ruhusa .
Hospitali ya Amana Ilala watoto 21 wamezaliwa 11 wakiwa ni watoto wa kike  na wakiume 10 na  mapacha moja na kati ya watoto hao 21...

 

10 years ago

Mtanzania

Watoto wazaliwa wameungana

Pg 1 watoto

 

Na Shomari Binda, Musoma
MKAZI wa Kata ya Buhare Manispaa ya Musoma, Helena Paulo (21), amejifungua watoto pacha walioungana sehemu za kifuani na tumboni katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara.
Kutokana na taarifa za kuzaliwa kwa watoto hao kusambaa mitaani, wananchi wengi walimiminika hospitalini hapo kushuhudia.
Watoto hao, walizaliwa Januari 4, mwaka huu saa moja asubuhi.
Hili ni tukio la pili, baada ya lile lililotokea Agosti 6, mwaka jana.
Katika tukio hilo, mkazi wa Katoro...

 

9 years ago

Habarileo

Pengo kuongoza misa mkesha wa Krismasi

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Policapy Kardinali Pengo leo saa tatu usiku anatarajiwa kuongoza misa ya mkesha wa sikukuu ya Kuzaliwa Yesu Kristo.

 

10 years ago

Habarileo

Watoto 109 wazaliwa Amana, Mwananyamala

WATOTO 109 wamezaliwa katika usiku wa kuamkia sherehe za Pasaka katika hospitali za Amana na Mwananyamala jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

MKESHA WA KRISMASI, MKE WA MTITU AFANYA KIBAO KATA!

Mkurugenzi wa Kampuni ya 5Effects, William Mtitu akiwa na mkewe Yovitha Mtitu . Stori: Waandishi wetu Mke wa Mkurugenzi wa Kampuni ya 5Effects, William Mtitu, Yovitha Mtitu, wikiendi iliyopita kwenye Mkesha wa Krismasi alifanya kibao kata nyumbani kwake ambapo alialika kikundi cha ngoma ya Baikoko na kukesha wakikata mauno na mastaa kibao wa Bongo. Sherehe hiyo iliibua minong’ono kwani baadhi ya waalikwa walikuwa wakihoji...

 

10 years ago

Vijimambo

POPE FRANCIS AONGOZA MISA YA MKESHA WA KRISMASI VATICAN CITY

Pope Francis uncovers a statue of the baby Jesus as he leads the Christmas night mass at St. Peter's Basilica on December 24, 2014 in Vatican City, Vatican. Pope Francis has written a Christmas letter to Christians in the Middle East to express his closeness to them at a time of 'afflictions and tribulations' due to 'the continuing hostilities in the region, but especially because of the work of a newer and disturbing terrorist organization.'
Pope Francis akiifunua sanamu ya mtoto Yesu siku ya Desemba 24, 2014 wakati alipokua akiongoza misa ya mkesha wa Krismasi kwenye mji wa Vatican. 
Pope Francis kisses the knee of a statue of the baby Jesus as he leads the Christmas night mass at St. Peter's Basilica on December 24, 2014 in Vatican City, Vatican. Pope Francis has written a Christmas letter to Christians in the Middle East to express his closeness to them at a time of 'afflictions and tribulations' due to 'the continuing hostilities in the region, but especially because of the work of a newer and disturbing terrorist organization.'
Pope Francis akibusu goti sanamu ya mtoto Yesu kisses the knee of a statue of the baby Jesus as he leads the Christmas night mass at St. Peter's Basilic siku ya Desemba 24, 2014 wakati alipokua akiongoza misa ya mkesha wa Krismasi kwenye mji wa Vatican. 
Pope Francis attends the Christmas night mass at St. Peter's Basilica on December 24, 2014 in Vatican City, Vatican. Pope Francis has written a Christmas letter to Christians in the Middle East to express his closeness to them at a time of 'afflictions and tribulations' due to 'the continuing hostilities in the region, but especially because of the work of a newer and disturbing terrorist organization.'
Pope Francis akiongoza misa ya mkesha wa Krismasi katika kanisa la Mt. Peter ndani ya mji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani