Pengo kuongoza misa mkesha wa Krismasi
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Policapy Kardinali Pengo leo saa tatu usiku anatarajiwa kuongoza misa ya mkesha wa sikukuu ya Kuzaliwa Yesu Kristo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo03 Apr
Pengo kuongoza misa Ijumaa Kuu
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, leo anatarajiwa kuongoza misa ya Ijumaa Kuu, itakayofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Joseph jimboni humo.
10 years ago
Vijimambo25 Dec
POPE FRANCIS AONGOZA MISA YA MKESHA WA KRISMASI VATICAN CITY

Pope Francis akiifunua sanamu ya mtoto Yesu siku ya Desemba 24, 2014 wakati alipokua akiongoza misa ya mkesha wa Krismasi kwenye mji wa Vatican.

Pope Francis akibusu goti sanamu ya mtoto Yesu kisses the knee of a statue of the baby Jesus as he leads the Christmas night mass at St. Peter's Basilic siku ya Desemba 24, 2014 wakati alipokua akiongoza misa ya mkesha wa Krismasi kwenye mji wa Vatican.

Pope Francis akiongoza misa ya mkesha wa Krismasi katika kanisa la Mt. Peter ndani ya mji wa...
9 years ago
Mwananchi25 Dec
79 wazaliwa Dar mkesha wa Krismasi
11 years ago
Habarileo26 Dec
Watoto 124 wazaliwa mkesha wa Krismasi
WATOTO 124 wakiwemo wa kiume 80 wamezaliwa katika mkesha wa Siku Kuu ya Krismasi katika hospitali za Dar es Salaam huku wengi wakiwa wa kiume.
9 years ago
Habarileo30 Dec
Rais Magufuli kuongoza mkesha kuombea taifa
RAIS John Magufuli kesho anatarajiwa kuongoza maelfu ya Watanzania katika Mkesha Mkubwa Kitaifa wa Kuombea Amani ya Nchi. Mkesha huo utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na mikoa mingine zaidi ya 10 ikiwa ni pamoja na Zanzibar, utawashirikisha watu wote bila kujali itikadi za kisiasa, dini wala kabila lengo likiwa ni kumshukuru Mungu kwa kuivusha nchi katika Uchaguzi Mkuu kwa amani na utulivu.
10 years ago
GPL
MKESHA WA KRISMASI, MKE WA MTITU AFANYA KIBAO KATA!
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Watoto 132 wazaliwa mkesha wa Krismasi, Wakiume 77 na wakike 55.
10 years ago
BBCSwahili20 Sep
Papa Francis kuongoza misa Cuba
9 years ago
Michuzi
RAIS MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA KRISMASI KATIKA KANISA LA MTAKATIFU PETER JIJINI DAR ES SALAAM LEO


