TIFFAH WA DIAMOND APEWA BENZ LA MIL. 200!

Musa mateja Kazi ipo mwaka huu! Ndugu wa mzazi mwenzake na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wamempa zawadi mtoto wa mastaa hao, Latiffah Nasibu ‘Princess Tiffah’ ndinga aina ya Mercedes Benz MSL Benz lenye thamani ya dola 100,000 (zaidi Sh. milioni 200).  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1JckTiT ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
TIFFAH SI MTOTO WA DIAMOND
10 years ago
GPL
TIFFAH AWAGOMBANISHA DIAMOND, ZARI
9 years ago
GPL
DIAMOND: ZARI AMEMHARIBU TIFFAH!
10 years ago
GPL
DIAMOND AMUAIBISHA MAMA TIFFAH
10 years ago
AllAfrica.Com20 Aug
Diamond Responds to Tiffah's Paternity Suit
Entertainment Express
AllAfrica.com
Tanzanian music star Diamond Platnumz has revealed that no one has approached him to conduct DNA tests on his newborn daughter, Princess Tiffah. The Bongo Flava icon said he has not been issued with a court order asking him to do paternity tests on ...
Diamond Platnumz Takes Sides With Baby Mama, Zari On Paternity Test SagaEntertainment Express
all 2
10 years ago
GPL
BABA DIAMOND AKATALIWA KUMUONA TIFFAH
10 years ago
Mtanzania21 Sep
Tiffah wa Diamond na Zari awekwa wazi
NA CHRISTOPHER MSEKENA
SHEREHE za watoto wa mastaa katika fani mbalimbali nchini zinaendelea kushika chati, baada ya mtoto wa staa wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’, Lattifah Abdul ‘Tiffah’ kufanyiwa sherehe kubwa jana.
Sherehe hiyo ilifanyika nyumbani kwa msanii huyo Tegeta kama baadhi ya mastaa waliowawahi kuwafanyia sherehe watoto wao walipozaliwa akiwemo, Zamaradi Mketema, Aunt Ezekiel, Mboni Masimba, Hbaba, Flora Mvungi na wengine wengi.
Wazazi wake wameweza kumficha sura...
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Wakamatwa na nyara za mil. 200/-
WATU sita wakazi wa wilayani ya Manyoni mkoani Singida, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kukutwa na nyara za serikali zenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 200....