Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gesi kuwafaidisha wazawa

Watanzania wataanza kunufaika na gesi asilia mwakani baada ya megawati 1,500 za umeme unaotokana na gesi asilia pekee kuanza kuzalishwa, jambo linaloelezwa kuwa litapunguza gharama kwa watumiaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mengi atetea wazawa kumiliki gesi

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Reginald Mengi, amesema hoja kwamba Watanzania hawana mtaji wa kumiliki vitalu vya gesi si sahihi kwa kuwa gesi yenyewe ni mtaji wa kutosha kwa Watanzania.

 

11 years ago

Mwananchi

Zabuni za gesi zimetoka, wazawa zichangamkie

Serikali imezindua rasmi zabuni ya nne ya vitalu vya utafiti wa mafuta na gesi asilia. Uzinduzi huo unaohusisha vitalu saba, sita vikiwa Bahari Kuu na kimoja kikiwa Ziwa Tanganyika ulifanyika mwishoni mwa mwezi uliopita, chini ya uratibu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) kwa niaba ya Serikali. Tunaambiwa kwamba mchakato wa zabuni hiyo utafungwa rasmi baada ya miezi sita, yaani Mei 15, 2014.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sheria kuwezesha wazawa kwenye gesi yaja

RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kuandaaa sheria, kanuni na taratibu kwa ajili ya uwekezaji wenye tija kwa wazawa katika sekta ya gesi na mafuta....

 

9 years ago

StarTV

Usafirishaji gesi: Kisima namba 3 cha Gesi Msimbati Mtwara chafunguliwa

Matumaini ya kuanza kuzalishwa umeme unaotokana na gesi siku chache zijazo yameanza kudhihirika baada ya kisima namba 3 cha gesi kilichoko Msimbati wilayani Mtwara kufunguliwa.

Lengo ni kuruhusu gesi kusafiri kwenye bomba hadi Madimba kuwezesha hatua ya uchakataji kuanza.

Mkurugenzi mkuu wa shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC James Mataragio akifungua rasmi bomba hilo kutoka kisima No MB 3 katika kijiji cha Msimbati na kubainisha kuwa mradi huo umejengwa kwa muda mfupi sana...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel Fursa Yatumia zaidi ya milioni 3 kumpiga tafu mjasiliamali mwingine - Airtel Fursa wiki hii kuwafaidisha mamia ya vijana Mwanza

 Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia), akiwa na kijana Mariam Mrisho (wa pili kulia) aliyewezeshwa na Airtel Fursa-Tunakuwezesha vifaa mbalimbali na jokufu kwa ajili ya kumsaidia katika biashara yake ya mama lishe na kutengeneza vitafunwa na juisi Dar es Salaam jana. Wa tatu kushoto ni mama wa Mariam Mrisho, Amina Lugome. Wengine ni ndugu zake Mrisho. Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (katikati), akimkabidhi jokofu kijana Mariam Mrisho (wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magufuli: Makandarasi wazawa wajaliwe

SERIKALI imewaagiza mameneja wa Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) na wakurugenzi watendaji wa halmashauri za wilaya, manispaa na majiji nchini, kutoa vipaumbele kwa makandarasi wazalendo. Agizo hilo limetolewa wilayani hapa jana...

 

9 years ago

Mwananchi

Wazawa hoi, wageni watesa

Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikizidi kushika kasi nchini, nyota wa kigeni waliosajiliwa na timu za Simba, Yanga na Azam wamewafunika wazawa baada ya kutoa mchango wa zaidi ya 80% kwenye mabao yaliyofungwa na timu hizo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wawekezaji wazawa waibana Serikali

>Serikali imetakiwa kuweka ukomo wa mambo ya kuwekeza baina ya wawekezaji wa ndani na wa nje kwa lengo la kuwawezesha wazawa kujijenga na kukua zaidi ili kuinua uchumi wa Taifa.

 

9 years ago

Mwananchi

Wazawa watakiwa kuiga China

Watanzania wametakiwa kujifunza masuala mbalimbali ya kibishara na ukuzaji wa viwanda kwa wawekezaji kutoka China.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani