Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


M-pesa kuwezesha uwekezaji UTT

 Afisa Mkuu Mwendeshaji wa  Dhamana ya Uwekazaji Tanzania (UTT) Simon Migangala akifafanua  jambo  kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na wateja wa mfuko huo watakavyonufaika na utumiaji wa  huduma ya M-Pesa itakavyowawezesha wananchi  kununua Vipande vya mifuko ya Pamoja iliyo chini ya UTT   kwa njia rahisi na salama katika kufanikisha azima yao kujijengea maisha bora ya baadaye kwa kujiwekea akiba.Kushoto ni Meneja Uhusiano wa  Nje wa Vodacom Tanzania,Salum Mwalim.Uzinduzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Uwekezaji UTT kulipiwa kwa M-Pesa

DHAMANA ya uwekezaji Tanzania(UTT) kwa kushirikiana na kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom, imezindua huduma ya kuwawezesha Watanzania kulipia vipande kwa M Pesa. Akizungumza katika uzinduzi wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Uwekezaji UTT AMIS na faida zake

WATANZANIA wengi wamepata mwamko wa kuwekeza fedha zao katika biashara mbalimbali lengo likiwa ni kujiongezea kipato na pia kuiongezea thamani fedha yao katika mzunguko. Katika makala haya, Mwandishi Wetu amefanya...

 

9 years ago

Michuzi

UTT AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA-MBEYA

Ofisa Masoko na Uhusiano Mwandamizi wa UTT AMIS, Martha Mashiku akitoa elimu ya uwekezaji wa pamoja kwa wafanyakazi wa hospitali ya rufaa ya Mbeya. Mkurugenzi wa Masoko Mwandamizi wa UTT AMIS, Daud Mbaga akitoa darasa la uwekezaji wa pamoja kwa wajasiriamali Mbeya mjini.Mkurugenzi wa Masoko Mwandamizi wa UTT AMIS, Daud Mbaga akitoa darasa la uwekezaji wa pamoja kwa wajasiriamali Mbeya mjini.
 Mkurugenzi wa Masoko Mwandamizi wa UTT AMIS, Daud Mbaga akitoa darasa la uwekezaji wa pamoja kwa...

 

11 years ago

GPL

WATEJA WA UTT KUNUFAIKA NA HUDUMA YA VODACOM M PESA‏


Afisa Mkuu Mwendeshaji wa  Dhamana ya Uwekazaji Tanzania (UTT) Simon Migangala  akifafanua  jambo  kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na wateja wa mfuko huo watakavyonufaika na utumiaji wa  huduma ya M-Pesa itakavyowawezesha wananchi  kununua Vipande vya mifuko ya Pamoja iliyo chini ya UTT   kwa njia rahisi na salama katika kufanikisha azima yao kujijengea maisha bora ya baadaye kwa...

 

10 years ago

Michuzi

UTT YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WAKAZI WA MBEYA

 Wakazi wa Mbeya wakipata Elimu ya Uwekezaji wa Pamoja kutoka kwa Ofisa Mafunzo wa UTT AMIS, Hilda Lyimo wakati wa Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara yaliyofanyika Mbeya. Ofisa Mafunzo wa UTT AMIS, Hilda Lyimo akitoa ufafanuzi Uwekezaji wa Pamoja kwa wakazi mjini Mbeya wakati wa Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara. Ofisa Mafunzo wa UTT AMIS, Mwanahamisi Sakuru akitoa Elimu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa wakazi wa jijini Mbeya. Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga wakitoa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY AITAKA BODI MPYA YA TMDA KUWEZESHA UKUAJI WA UCHUMI NA USHAMIRI WA BIASHARA NA UWEKEZAJI TANZANIA

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akigawa vitendea kazi kwa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya ushauri ya Wizara kwa Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) Bw. Eric k Shitindi mara baada ya kuzindua bodi hiyo.  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu  (aliyesimama kushoto) akizungumza jambo kwa wajumbe wapya wa bodi ya ushauri ya Wizara ya Afya kwa Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba TMDA.
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,...

 

10 years ago

Michuzi

MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA INAYOENDESHWA NA UTT AMIS YAPATA FAIDA KUBWA

Afisa Mwendeshaji Mkuu wa UTT AMIS Bw.Simon Migangala akiongea na waandishi wa habari jana Dar es salaam kuhusiana na ufanisi wa mifuko kwa kipindi cha miezi sita iliyopita.
UTT AMIS ndiyo waendeshaji na waanzilishi wa mifuko ya uwekezaji wa pamoja nchini.Mpaka sasa wanaendesha mifuko mitano ya uwekezaji ambayo ni Mfuko wa Umoja, Mfuko wa wekeza Maisha,Mfuko wa Watoto, Mfuko wa Kujikimu na Mfuko wa Ukwasi yenye zaidi ya shilingi bilioni 227.
Bwana Migangala aliwaambia waandishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

UTT-AMIS YATOA ELIMU YA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA MADAKTARI

Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga akitoa mada kuhusu Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja UTT-AMIS  katika mkutano Mkuu wa 47 wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) uliofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa mjini  Dodoma hivi karibuni. Mkutano huo ulidhaminiwa na UTT-AMISWashiriki wa semina hiyo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

UTT-AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI KWENYE MASOKO YA FEDHA KWA WABUNGE

 Ofisa Masoko wa Kampuni ya UTT, Bi. Kilave (kulia) akiwa na Ofisa Mkuu wa Kampuni ya Maendeleo ya Miundombinu ya UTT-PID, Shakiru Abdulkarim wakitoa elimu ya Uwekezaji kwenye Masoko ya Fedha kwa Wabunge na Watumishi wa ofisi ya Bunge wakati wa maonyesho ya kazi zinazofanywa na makampuni ya UTT na kufanyika katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma. Maofisa Mafunzo kutoka UTT-Microfinance, Hilda Lyimo na Pauline, wakitoa maelezo kwa baadhi ya wabunge waliotembelea banda lao kuhusu Mikopo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani