MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA INAYOENDESHWA NA UTT AMIS YAPATA FAIDA KUBWA

Afisa Mwendeshaji Mkuu wa UTT AMIS Bw.Simon Migangala akiongea na waandishi wa habari jana Dar es salaam kuhusiana na ufanisi wa mifuko kwa kipindi cha miezi sita iliyopita.
UTT AMIS ndiyo waendeshaji na waanzilishi wa mifuko ya uwekezaji wa pamoja nchini.Mpaka sasa wanaendesha mifuko mitano ya uwekezaji ambayo ni Mfuko wa Umoja, Mfuko wa wekeza Maisha,Mfuko wa Watoto, Mfuko wa Kujikimu na Mfuko wa Ukwasi yenye zaidi ya shilingi bilioni 227.
Bwana Migangala aliwaambia waandishi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
WAFANYAKAZI WA OFISI YA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI WAKIELIMISHWA KUHUSIANA NA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA(MUTUAL FUNDS) INAYOENDESHWA NA UTT AMIS

UTT AMIS ndiyo magwiji katika kuanzisha na kuendesha Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja (Mutual Funds) hapa nchini. Mpaka sasa UTT AMIS inaendesha mifuko mitano ambayo ni Mfuko wa Umoja, Mfuko wa Wekeza Maisha, Mfuko wa...
10 years ago
Michuzi
UTT-AMIS YATOA ELIMU YA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA MADAKTARI


BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
MichuziUTT AMIS YATOA ELIMU YA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WASHIRIKI WA MKUTANO MKUU WA 31 WA ALAT
Mifuko hii huwawezesha wawekezaji kuweka akiba na kuwekeza fedha zao na zikakua zaidi.Hatimaye huwawezesha...
10 years ago
MichuziUTT AMIS YASHIRIKI MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA 39 NA KUTOA ELIMU YA UWEKEZAJI KWENYE MIFUKO YA PAMOJA KWA WANANCHI
Mpaka sasa UTT AMIS inaendesha mifuko mitano ambayo ni Mfuko wa Umoja, Mfuko wa Wekeza Maisha, Mfuko wa Watoto,...
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Uwekezaji UTT AMIS na faida zake
WATANZANIA wengi wamepata mwamko wa kuwekeza fedha zao katika biashara mbalimbali lengo likiwa ni kujiongezea kipato na pia kuiongezea thamani fedha yao katika mzunguko. Katika makala haya, Mwandishi Wetu amefanya...
9 years ago
Michuzi
UTT AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA-MBEYA



10 years ago
Michuzi
UTT-AMIS YATOA SEMINA KUHUSU UWEKEZAJI WA PAMOJA KWENYE MASOKO YA FEDHA JIJINI ARUSHA


9 years ago
Michuzi
UTT AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WAFANYAKAZI WA TAASISI ZA ELIMU MKOANI TANGA



5 years ago
Michuzi
UTT AMIS YATOA ELIMU YA MIFUKO YAO KWA WASHIRIKI WA SEMINA JIJINI MOROGORO


