Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FIFA:Hakuna fidia ya kombe la dunia

FIFA,imetangaza kuwa halitazilipa fidia klabu barani Ulaya ambazo hazijafurahia hatua ya FIFA kuandaa kombe la dunia nchini Qatar mwezi Novemba na Disemba ya mwaka wa 2022.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Barcelona yatwaa Kombe la FIFA Klabu Bingwa Dunia

Football Soccer - River Plate v FC Barcelona - FIFA Club World Cup Final - International Stadium Yokohama, Yokohama - 20/12/15 FC Barcelona celebrate winning the FIFA Club World Cup Final with the trophy Reuters / Thomas Peter Livepic

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Klabu ya Barcelona ya Hispania imetwaa Ubingwa wa FIFA Klabu Bingwa wa Dunia baada ya kuifunga klabu ya River Plate ya Argentina kwa goli 3 kwa bila katika mchezo wa fainali ya mashindano hayo yaliyofanyika nchini Japan.

Katika mchezo huo wa fainali nyota ya Barcelona ilianza kung`aa katika dakika ya 36 baada ya mshambuliaji wake Lionel Messi kuifungia timu hiyo goli la kwanza kwa kuunganisha mpira uliotoka kwa mchezaji mwenzake Neymar na baadae Luiz Suarez...

 

11 years ago

BBCSwahili

FIFA yaonya Brazil kuhusu maandalizi ya kombe la dunia

FIFA imetoa onyo kwa Brazil kuwa Curitiba huenda ukaondolewa miongoni mwa miji itakayoandaa fainali ya kombe la dunia kutokana na kuchelewesha kwa ujenzi

 

9 years ago

StarTV

FA Yaitaka FIFA kurudisha fedha za kuomba uenyeji wa kombe la Dunia

Kufuatia matamshi ya kuudhi yaliyotolewa na rais wa FIFA aliyesimamishwa Joseph Sepp Blatter  baada ya England kushindwa kupata uenyeji wa  kombe la dunia 2018, Chama cha soka cha nchi hiyo kimesema kina haki ya kuchukua hatua za kisheria dhidi ya FIFA.

Mwenyekiti wa chama hicho Greg Dyke akizungumza kwenye bunge la nchi hiyo amesema kuwa timu ya kampeni ya mchakato wa uenyeji ya England ikiongozwa na Simon Johnson ilifuata kanuni na taratibu zote za kisheria mpaka usiku kabla ya upigaji...

 

11 years ago

GPL

FIFA YATAJA WACHEZAJI 10 WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA KOMBE LA DUNIA 2014

Orodha kamili:
- Angel Di Maria (Argentina)
- Mats Hummels (Germany)
- Toni Kroos (Germany)
- Philipp Lahm (Germany)
- Javier Mascherano (Argentina)
- Lionel Messi (Argentina)
- Thomas Muller (Germany)
- Neymar (Brazil)
- Arjen Robben (Netherlands)
- James Rodriguez (Colombia)
Haya ni majina ya washindi wa tuzo hiyo katika mashindano ya Kombe la FIFA la dunia miaka iliyopita:
1982 FIFA World Cup Spain: Paolo Rossi...

 

11 years ago

Bongo5

FIFA yataja wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kombe la dunia 2014 ‘World Cup Golden Ball Award’, Neymar na Messi waingia

Nyota wa Argentina Lionel Messi na nyota wa Brazil, Neymar ni miongoni mwa wachezaji 10 bora katika michuano ya mwaka huu, waliotajwa kuwania nafasi ya kuwa mchezaji bora wa Kombe la dunia 2014. FIFA jana jioni (July 11) imetoa orodha ya majina ya wachezaji 10 waliotajwa kuwania tuzo hiyo. Wachezaji wengine 7 kwenye orodha hiyo […]

 

11 years ago

GPL

11 years ago

Michuzi

kombe la dunia brazil?

 Hapana. Hawa ni sehemu ya wadau kutoka sehemu mbalimbali ya nchi zaidi ya 10,000 waliofika asubuhi hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kwa ajili ya usaili wa kazi katika Idara ya Uhamiaji, kuwania nafasi takriban 70 zilizotangazwa 

 

11 years ago

BBCSwahili

Historia ya kombe la dunia

Mihemko imeanza kushuhudiwa kabla ya kombe la dunia kuanza Brazil. Je unajua historia ya kombe hilo na baadhi ya wachezaji waliowakilisha Afrika?

 

11 years ago

BBCSwahili

Ribery nje ya Kombe la Dunia

Mchezaji nyota wa Ufaransa Frank Ribery hatoshiriki fainali ya kombe la dunia huko Brazil.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani