Ribery nje ya Kombe la Dunia
Mchezaji nyota wa Ufaransa Frank Ribery hatoshiriki fainali ya kombe la dunia huko Brazil.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili25 Jun
Italia nje ya kombe la dunia
11 years ago
Dewji Blog19 Jun
Cameroon imetupwa nje ya kombe la Dunia
Hii ni baada ya kushindwa kwa mabao manne kwa moja na timu ya Croatia katika Uwanja wa Manaus.
Cameroon walimaliza mechi hiyo wakiwa wachezaji kumi baada ya mchezaji wa Barcelona Alex Song kuondolewa kwa kupewa kadi nyekundu.
Cameroon hawakuwapa Croatia upinzani mgumu katika mchuano huu wa kundi A.
Croatia sasa wana matumaini ya kuwania nafasi ya pili katika kundi hilo dhidi ya Brazil na Mexico ili kuendelea katika raundi ya pili.
Croatia wanajua kuwa mshindi katika mechi yao na El Tri,...
11 years ago
BBCSwahili26 Jun
Luis Suarez nje ya kombe la dunia
11 years ago
BBCSwahili25 Jun
Ivory Coast nje ya kombe la Dunia
11 years ago
BBCSwahili26 Jun
Ghana na Ureno nje ya kombe la dunia
11 years ago
Mwananchi09 Jun
BRAZIL 2014: Echiejile nae nje Kombe la Dunia
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfjo9ZRz7zx859Br4G7B2BDxCs*4sO-tb1QEGBclx0Kkjx7SFbhja7rYW7QFFJ3i5*A0EXcuQiKNfdQM01qJyema/184769104.jpg?width=650)
KIKOSI CHA UFARANSA KOMBE LA DUNIA 2014, NASRI ATUPWA NJE
9 years ago
Bongo529 Oct
Manchester United nje kombe la Capital One
10 years ago
Vijimambo24 Jan
CHELSEA , MANCITY ,NA TOTENHAM NJE KOMBE LA FA
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/04/150104152649_fa_cup_trophy_1_640x360_pa.jpg)
Manchester City,Chelsea Southampton na Totenham zimeondolewa katika mechi za kombe la FA baada ya kuadhibiwa na timu kutoka daraja la chini la ligi ya EPL.
Timu hizo ambazo zinaongoza katika jedwali la ligi kuu ya Uingereza Zilishangazwa baada ya kushindwa nyumbani na wapinzani wao.
Hii ni mara ya pili kwa mabingwa wa ligi ya Uingereza Mancity kuondolewa nyumbani na Middlesborough ambao walishinda kwa 2-0.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/04/150104183520_manchester_city__640x360_allsport.jpg)
Vilevile kilabu ya daraja la kwanza Bradford City ilionyesha mchezo wa hali ya juu...