Manchester United nje kombe la Capital One
Mechi za kombe la Capital One ziliendelea tena October 28 usiku. Miongoni mwa mechi zilizochezwa ni pamoja na Manchester City dhidi ya Crystal Palace. Mchezo huo ulichezwa katika dimba la Etihad. Man City wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani wamefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa jumla ya magoli 5-1. Manchester United 0 – 0 Middlesbrough […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MANCHESTER UNITED YAONDOLEWA CAPITAL ONE CUP KWA MATUTA
10 years ago
BBCSwahili16 Dec
Manchester United kutwa kombe?
11 years ago
BBCSwahili06 Jan
Manchester United yatupwa nje FA
9 years ago
Bongo509 Dec
Manchester United yatolewa nje UEFA

Manchester United jana Disemba 8 imeiaga rasmi michuano ya klabu bingwa Ulaya baada ya kupata kipigo cha magoli 3-2 na Wolfsburg ya Ujerumani kwenye mchezo wa mwisho wa kundi B uliokuwa unaamua timu gani zitasonga mbele kwenye hatua ya mtoano kati ya timu tatu zilizokuwa na nafasi ya kusonga mbele kwenye hatua hiyo.
United, Wolfsburg na PSV zote zilikuwa na nafasi ya kufuzu kwenda kwenye hatua ya 16 bora lakini United imejikuta ikishindwa kusonga mbele.
Anthony Martial alianza kuifungia...
5 years ago
The Busby Babe09 Mar
Manchester United 2-0 Manchester City: Martial and McTominay make Manchester Red
5 years ago
The Peoples Person09 Mar
Manchester United fans delighted with Bruno Fernandes' performance vs Manchester City
10 years ago
GPL
MANCHESTER UNITED ILIVYOPELEKA KILIO KWA MANCHESTER CITY
9 years ago
Africanjam.Com
PEP GUARDIOLA'S NEXT CLUB: IS IT MANCHESTER UNITED OR MANCHESTER CITY !?

The report states that Bayern Munich chief Karl-Heinz Rummenigge will announce...