CHELSEA , MANCITY ,NA TOTENHAM NJE KOMBE LA FA
Manchester City,Chelsea Southampton na Totenham zimeondolewa katika mechi za kombe la FA baada ya kuadhibiwa na timu kutoka daraja la chini la ligi ya EPL.
Timu hizo ambazo zinaongoza katika jedwali la ligi kuu ya Uingereza Zilishangazwa baada ya kushindwa nyumbani na wapinzani wao.
Hii ni mara ya pili kwa mabingwa wa ligi ya Uingereza Mancity kuondolewa nyumbani na Middlesborough ambao walishinda kwa 2-0.
Vilevile kilabu ya daraja la kwanza Bradford City ilionyesha mchezo wa hali ya juu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili24 Jan
Chelsea,Mancity na Totenham nje ya F.A
10 years ago
BBCSwahili18 Oct
Mancity yachuana na Totenham
10 years ago
BBCSwahili02 Jan
Chelsea yapewa kichapo na Totenham
10 years ago
BBCSwahili14 Dec
Mancity,Chelsea na Arsenal zawika
10 years ago
BBCSwahili13 Dec
Arsenal,Mancity na Chelsea uwanjani
10 years ago
BBCSwahili31 Jan
Chelsea na Mancity kutoana jesho
10 years ago
BBCSwahili06 Dec
Chelsea,Arsenal na Mancity kucheza leo
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
Arsenal,Chelsea na Mancity uwanjani Leo
10 years ago
BBCSwahili21 Jun
Chelsea na Mancity zamwinda Alex Song