Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mancity yachuana na Totenham

Mabingwa watetezi wa ligi ya Uingereza Manchester City huenda wakampuzisha Yaya Toure aliyeichezea timu yake ya taifa,

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea,Mancity na Totenham nje ya F.A

Manchester City,Chelsea Southampton na Totenham zimeondolewa katika mechi za kombe la FA

 

10 years ago

Vijimambo

CHELSEA , MANCITY ,NA TOTENHAM NJE KOMBE LA FA



Manchester City,Chelsea Southampton na Totenham zimeondolewa katika mechi za kombe la FA baada ya kuadhibiwa na timu kutoka daraja la chini la ligi ya EPL.
Timu hizo ambazo zinaongoza katika jedwali la ligi kuu ya Uingereza Zilishangazwa baada ya kushindwa nyumbani na wapinzani wao.
Hii ni mara ya pili kwa mabingwa wa ligi ya Uingereza Mancity kuondolewa nyumbani na Middlesborough ambao walishinda kwa 2-0.
Vilevile kilabu ya daraja la kwanza Bradford City ilionyesha mchezo wa hali ya juu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea yapewa kichapo na Totenham

Chelsea ilicharazwa na kilabu ya Totenham na hivyobasi kusalimu amri ya uongozi wa ligi ya Uingereza.

 

11 years ago

BBCSwahili

Liverpool yailaza Mancity

Liverpool iliilaza Manchester City katika mechi ya kirafiki iliyochezwa Marekani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Arsenal kumenyana na Mancity

Arsenal na Manchster City kuchuana katika kombe la Charity Shield

 

10 years ago

BBCSwahili

Mancity yalazwa na Burnley

Bao la George Boyd liliipatia kilabu ya Burnley ushindi dhidi ya Mancity na hivyobasi kutia doa harakati za klabu hiyo

 

10 years ago

BBCSwahili

Mancity yaiadhibu Newcastle 5-0

Kilabu ya Manchester City ilipata ushindi wao mkubwa zaidi katika ligi ya EPL msimu huu kwa kuicharaza Newcastle 5-0

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal,Mancity na Man U kuwania FA

Mshambuliaji wa Uingereza Theo Walcot anatarajiwa kuanza katika mechi ya leo ya raundi ya tatu ya kombe la FA dhidi ya Hull City.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mancity yakaribia kumsajili Bony

Usajili wa mshambuliaji wa Ivory Coast na Swansea Wilfired Bony hadi kilabu ya Mancity unakaribia kukamilika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani