Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mancity yaiadhibu Newcastle 5-0

Kilabu ya Manchester City ilipata ushindi wao mkubwa zaidi katika ligi ya EPL msimu huu kwa kuicharaza Newcastle 5-0

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Chelsea yaiadhibu Galatasaray

Chelsea yafuzu kwa robo fainali ya ligi ya mabingwa Uropa baada ya kuilaza Galatasaray 2-0

 

9 years ago

Mtanzania

Marekani yaiadhibu Tanzania

usaid-fund*Ni kwa makosa yaliyofanyika Zanzibar

*Sheria ya makosa ya mtandao yaumiza

Na Mwandishi Wetu

MAREKANI imeinyima Serikali ya Tanzania msaada wa dola milioni 472 (zaidi ya Sh trilioni moja) za msaada za mfuko wa changamoto za milenia (MCC).

Wakati Tanzania ikinyimwa fedha hizo nchi za Ivory Coast, Kosovo na Senegal zimepewa huku Niger, Nepal na Ufilipino zikifuzu vigezo vya kupatiwa msaada huo kwa mwaka 2016.

Ripoti ya MCC ambayo MTANZANIA Jumamosi imeiona inaonyesha kuwa Bodi ya kuidhinisha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Liverpool yaiadhibu Tottenham 3 - 0

Liverpool imeiadhibu Tottenham kwa kuichapa magoli 3 - 0 katika mechi iliyochezwa jumapili.

 

11 years ago

BBCSwahili

Liverpool yaiadhibu Stoke 5 - 3

Liverpool jumamosi iliwanyoa Stoke City kwa jumla ya magoli 5 -3 katika mchezo wa ligi kuuu ya England na kuifanya ipunguze pointi dhidi timu iliyopo juu ya msimamo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Chelsea yaiadhibu Liverpool 2-0

Chelsea wamewanyamazisha vinara wa ligi kuu ya England, Liverpool kwa kuwacharaza 2-0

 

10 years ago

BBCSwahili

Machester City yaiadhibu sheffield W

Manchester City yaipa kipigo Sheffield W kwa mabao 7-0

 

11 years ago

BBCSwahili

Real Madrid yaiadhibu Dortmund

Real Madrid yaiadhibu Borussia Dortmund mabao matatu bila jibu

 

9 years ago

Habarileo

Mwanza yaiadhibu Moro ARS

TIMU ya wavulana ya Mwanza jana iliiadhibu Morogoro kwa mabao 3-1 katika michuano ya vijana chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars ngazi ya Taifa inayoendelea kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam.

 

10 years ago

BBCSwahili

West Ham yaiadhibu Swansea

West Ham United waliiadhibu Swansea baada ya kumiminia magoli 3 - 1.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani