Mwanza yaiadhibu Moro ARS
TIMU ya wavulana ya Mwanza jana iliiadhibu Morogoro kwa mabao 3-1 katika michuano ya vijana chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars ngazi ya Taifa inayoendelea kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Mwanza yaiadhibu Morogoro katika michuano ya Airtel Rising Stars
11 years ago
GPLMWANZA, MORO NAO WAGOMEA MASHINE ZA EFD
10 years ago
TheCitizen16 Sep
Mwanza, Moro, Mbeya and Ilala sail to semis
9 years ago
Bongo504 Dec
Video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’ iliyoshutiwa Moro na director wa Moro kutambulishwa Trace Urban wiki Ijayo

Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.
What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya
— TRACE East Africa (@TRACEEastAfrica) December 2, 2015
Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza...
11 years ago
BBCSwahili31 Aug
Liverpool yaiadhibu Tottenham 3 - 0
11 years ago
BBCSwahili19 Mar
Chelsea yaiadhibu Galatasaray
9 years ago
Mtanzania19 Dec
Marekani yaiadhibu Tanzania
*Ni kwa makosa yaliyofanyika Zanzibar
*Sheria ya makosa ya mtandao yaumiza
Na Mwandishi Wetu
MAREKANI imeinyima Serikali ya Tanzania msaada wa dola milioni 472 (zaidi ya Sh trilioni moja) za msaada za mfuko wa changamoto za milenia (MCC).
Wakati Tanzania ikinyimwa fedha hizo nchi za Ivory Coast, Kosovo na Senegal zimepewa huku Niger, Nepal na Ufilipino zikifuzu vigezo vya kupatiwa msaada huo kwa mwaka 2016.
Ripoti ya MCC ambayo MTANZANIA Jumamosi imeiona inaonyesha kuwa Bodi ya kuidhinisha...
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
Liverpool yaiadhibu Stoke 5 - 3
11 years ago
BBCSwahili27 Apr
Chelsea yaiadhibu Liverpool 2-0