Mwanza yaiadhibu Morogoro katika michuano ya Airtel Rising Stars
![](http://1.bp.blogspot.com/-zMeyr59B6H0/VfnQNkaT9dI/AAAAAAAH5cA/gLkyzQYdXqA/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
Patashika ya michuano ya vijana chini ya miaka 12 ya Airtel Rising Stars ngazi ya taifa, imeendelea kutimua vumbi katika dimba la Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es Salaam, ambapo timu za Temeke na Mwanza zilipepetana kwa upande wa wasichana huku Mwanza na Morogoro walitifuana vikali kwa upande wa wavulana. Kwa kuanzia na mchezo ambao ulizikutanisha timu za wavulana, Mwanza waliwasambaratisha vibaya Morogoro kwa kuwashindilia magoli 3-1. Mwanza ambao walionekana kutakata kila idara,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziAirtel wakabidhi jezi kwa timu zitakazoshiriki michuano ya Airtel Rising Stars
10 years ago
GPLAIRTEL WAKABIDHI JEZI KWA TIMU ZITAKAZOSHIRIKI MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-jheR_MZlnSk/VcnBYI4DMeI/AAAAAAAHwB8/Rw16w5gf3iU/s72-c/unnamed%2B%25283%2529.jpg)
Michuano ya Airtel Rising Stars Mkoani Arusha Yazinduliwa Rasmi
Hafla ya ufunguzi ilihudhuliwa na viongozi wa shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) mkoa wa Arusha, mdhamini wa mashindano Airtel Tanzania na wadau wengine wa soka. Ufunguzi huo uliufanyika katika...
11 years ago
GPLAIRTEL YAENDESHA SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WA SOKA KWA AJILI YA KUJIANDAA NA MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS 2014
10 years ago
TheCitizen03 Aug
Morogoro RC opens Airtel Rising Stars
10 years ago
Michuzimichuano ya Airtel Rising Stars Yaendelea kurindima uwanja wa karume jijini dar
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-kr5CgqBcRjE/VfzUp3blfhI/AAAAAAAH6AI/HQ1CnZMQqTE/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
Timu ya soka ya wasichana ya Temeke yatinga Nusu fainali michuano ya Airtel Rising Stars
![](http://2.bp.blogspot.com/-kr5CgqBcRjE/VfzUp3blfhI/AAAAAAAH6AI/HQ1CnZMQqTE/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-NSsOsn7_sJg/VfzUphEmQHI/AAAAAAAH6AE/uq2q4SBiokg/s640/unnamed%2B%25282%2529.jpg)
10 years ago
MichuziMoro Kids bingwa Airtel Rising Stars Morogoro
Ushindi huo kwenye mchezo wa jana uliohudhuriwa na mashabiki wengi uliwawezesha Moro Kids kufikisha pointi sita wakifuatiwa na timu ya Tecfort iliyohitimisha mashindano hayo ya mkoa ikiwa na pointi tatu.
Wakati huo huo chama cha soka mkoani...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-bBzRTpprnzI/VgBJfaADfNI/AAAAAAAH6rg/pAUuFdBrS7A/s72-c/arsfinal.png)
RAIS WA TFF JAMAL MALINZI LEO AFUNGA FAINALI ZA MICHUANO YA KOMBE LA AIRTEL RISING STARS
![](http://4.bp.blogspot.com/-bBzRTpprnzI/VgBJfaADfNI/AAAAAAAH6rg/pAUuFdBrS7A/s640/arsfinal.png)