Michuano ya Airtel Rising Stars Mkoani Arusha Yazinduliwa Rasmi
![](http://3.bp.blogspot.com/-jheR_MZlnSk/VcnBYI4DMeI/AAAAAAAHwB8/Rw16w5gf3iU/s72-c/unnamed%2B%25283%2529.jpg)
Katibu tawala mkoa wa Arusha Ado Mapunda jana alizindua mashindano ya kuibua vipaji vya soka kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars jijini Arusha na kuwataka vijana wanaoshiriki mashindano hayo kujituma na kucheza kwa bidii ili kutimiza ndoto zao za kuwa wachezaji nyota.
Hafla ya ufunguzi ilihudhuliwa na viongozi wa shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) mkoa wa Arusha, mdhamini wa mashindano Airtel Tanzania na wadau wengine wa soka. Ufunguzi huo uliufanyika katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziAirtel wakabidhi jezi kwa timu zitakazoshiriki michuano ya Airtel Rising Stars
10 years ago
GPLAIRTEL WAKABIDHI JEZI KWA TIMU ZITAKAZOSHIRIKI MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Airtel Rising Stars 2014 yazinduliwa Dar
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, jana imezindua rasmi msimu wa nne wa mashindano ya soka kwa vijana chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars (ARS), yanayotarajiwa...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zMeyr59B6H0/VfnQNkaT9dI/AAAAAAAH5cA/gLkyzQYdXqA/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
Mwanza yaiadhibu Morogoro katika michuano ya Airtel Rising Stars
11 years ago
GPLAIRTEL YAENDESHA SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WA SOKA KWA AJILI YA KUJIANDAA NA MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS 2014
11 years ago
GPLMASHINDANO YA AIRTEL RISING STAR YAZINDULIWA RASMI DAR
10 years ago
Michuzimichuano ya Airtel Rising Stars Yaendelea kurindima uwanja wa karume jijini dar
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-kr5CgqBcRjE/VfzUp3blfhI/AAAAAAAH6AI/HQ1CnZMQqTE/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
Timu ya soka ya wasichana ya Temeke yatinga Nusu fainali michuano ya Airtel Rising Stars
![](http://2.bp.blogspot.com/-kr5CgqBcRjE/VfzUp3blfhI/AAAAAAAH6AI/HQ1CnZMQqTE/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-NSsOsn7_sJg/VfzUphEmQHI/AAAAAAAH6AE/uq2q4SBiokg/s640/unnamed%2B%25282%2529.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-bBzRTpprnzI/VgBJfaADfNI/AAAAAAAH6rg/pAUuFdBrS7A/s72-c/arsfinal.png)
RAIS WA TFF JAMAL MALINZI LEO AFUNGA FAINALI ZA MICHUANO YA KOMBE LA AIRTEL RISING STARS
![](http://4.bp.blogspot.com/-bBzRTpprnzI/VgBJfaADfNI/AAAAAAAH6rg/pAUuFdBrS7A/s640/arsfinal.png)