Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASHINDANO YA AIRTEL RISING STAR YAZINDULIWA RASMI DAR

Wachezaji wa timu ya Ilala (wenye jezi nyekundu) wakiwa uwanjani wenye jezi nyeupe ni timu ya Buguruni Youth Center ‘’BYC’’. Mashabiki wakifuatilia mechi kati ya timu ya Buguruni Youth Center na Ilala.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA VIJANA YA AIRTEL RISING STAR YAZINDULIWA JIJINI DAR

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Saidi Meck Sadiki akisalimiana na wachezaji wa timu za Ilala wakati akizindua rasmi mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa wa Dar es Salaam jana.  Mshambuliaji wa timu ya Ilala, Rashid Mohamed (kulia) akimtoka beki wa timu ya Buguruni Youth Center, Khamis Mohamed katika mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa wa Dar es Salaam jana.  Mshambuliaji wa timu ya Ilala, Edwin Francis (kushoto) akituliza mpira mbele ya  beki wa timu ya Buguruni...

 

11 years ago

Michuzi

mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star yazinduliwa jijini mwanza

 Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa huo jana.   Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akisalimiana na wachezaji wa timu za Mwanza wakati akizindua rasmi mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa huo jana.

 

10 years ago

Michuzi

Michuano ya Airtel Rising Stars Mkoani Arusha Yazinduliwa Rasmi

Katibu tawala mkoa wa Arusha Ado Mapunda jana alizindua mashindano ya kuibua vipaji vya soka kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars jijini Arusha na kuwataka vijana wanaoshiriki mashindano hayo kujituma na kucheza kwa bidii ili kutimiza ndoto zao za kuwa wachezaji nyota.
Hafla ya ufunguzi ilihudhuliwa na viongozi wa shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) mkoa wa Arusha, mdhamini wa mashindano Airtel Tanzania na wadau wengine wa soka. Ufunguzi huo uliufanyika katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Airtel Rising Stars 2014 yazinduliwa Dar

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, jana imezindua rasmi msimu wa nne wa mashindano ya soka kwa vijana chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars (ARS), yanayotarajiwa...

 

9 years ago

Michuzi

ELISANTE OLE GABRIEL AZINDUA FAINALI ZA AIRTEL RISING STAR JIJINI DAR ES SALAAM

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Elisante Ole Gabriel leo Jumapili, Septemba 13, amezindua rasmi michuano ya Airtel Rising Stars kitaifa kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es salaam.Akiongea wakati wa uzinduzi wa michuano hiyo, Ole Gabreil ameipongeza kampuni ya simu za mkononi ya Airtel nchini kwa kuendesha michuano hiyo, ambayo inawapa nafasi vijana wa kike na kiume kuonyesha vipaji vyao vya kucheza mpira wa miguu.Ole Gabriel ameiomba Airtel kuendelea...

 

11 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA YAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR.

Meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria kimaro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd,s Miss Tanzania 2014kulia ni   mkurugenzi wa kamåuni ya LINO International Hashi Lundenga ambao ni waandaaji wa mashindano hayo na kushoto ni  Meneja Masoko wa kinywaji cha Redd's Original Vimal Vaghmaria.  Mkurugenzi wa kampuni ya LINO International Hashi Lundenga akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya...

 

11 years ago

GPL

MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA YAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR

Aliyekuwa meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria kimaro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd,s Miss Tanzania 2014 kulia ni mkurugenzi wa kampuni ya LINO International Agency Hashim Lundenga ambao ni waandaaji wa mashindano hayo na kushoto ni  Meneja mpya wa kinywaji cha Redd's Original Vimal Vaghmaria.  Mkurugenzi wa kampuni ya LINO...

 

10 years ago

Vijimambo

MASHINDANO YA MTEMVU CUP YAZINDULIWA RASMI VIWANJA VYA MWEMBE YANGA DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, Yahaya Sikunjema (wa pili kulia), akimkabidhi vifaa vya michezo Mwenyekiti wa CCM Kata ya Azimio, Essa Uswege kwa ajili ya mashindano ya Mtemvu Cup yaliyozinduliwa  jijini Dar es Salaam jana jioni. Kulia ni Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu aliyeanzisha mashindano hayo na kushoto ni Diwani wa Kata ya Azimio, Hamisi Mzuzuri. Mbunge wa Temeke, Abbas Abbas Mtemvu akishiriki kubeba nyoka na wasanii wa Kikundi cha Sanaa cha Hisia wakati wa...

 

10 years ago

GPL

MASHINDANO YA MTEMVU CUP YAZINDULIWA RASMI VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR‏

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, Yahaya Sikunjema (wa pili kulia), akimkabidhi vifaa vya michezo Mwenyekiti wa CCM Kata ya Azimio, Essa Uswege kwa ajili ya mashindano ya Mtemvu Cup yaliyozinduliwa  jijini Dar es Salaam jana jioni. Kulia ni Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu aliyeanzisha mashindano hayo na kushoto ni Diwani wa Kata ya Azimio, Hamisi Mzuzuri.  Mbunge wa Temeke, Abbas Abbas Mtemvu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani