MASHINDANO YA MTEMVU CUP YAZINDULIWA RASMI VIWANJA VYA MWEMBE YANGA DAR ES SALAAM
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, Yahaya Sikunjema (wa pili kulia), akimkabidhi vifaa vya michezo Mwenyekiti wa CCM Kata ya Azimio, Essa Uswege kwa ajili ya mashindano ya Mtemvu Cup yaliyozinduliwa jijini Dar es Salaam jana jioni. Kulia ni Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu aliyeanzisha mashindano hayo na kushoto ni Diwani wa Kata ya Azimio, Hamisi Mzuzuri.
Mbunge wa Temeke, Abbas Abbas Mtemvu akishiriki kubeba nyoka na wasanii wa Kikundi cha Sanaa cha Hisia wakati wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMASHINDANO YA MTEMVU CUP YAZINDULIWA RASMI VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboUZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI NI KESHO VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR ES SALAAM MAANDALIZI YAMEKAMILIKA WANA MUZIKI LULUKI KUTOA BURUDANI WANDUGU SAIDIA TUTANI UZINDUZI RASMI NI KESHO
10 years ago
Dewji Blog24 Jul
Kampeni ya ‘Wazazi Nipendeni’ kuzinduliwa rasmi leo viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar
Mshauri wa masuala ya Malaria kutoka Taasisi ya Jhpiego, Jasmin Chadewa (kushoto), akitoa huduma ya kumpa dawa ya vitamini A, mtoto Rahim Simai, viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi ikiwa ni utoaji huduma wa elimu ya afya kwa wajawazito na matumizi ya dawa aina ya SP, upimaji wa malaria pamoja na matumizi ya vyandarua kama muendelezo wa huduma za afya ya mama mjamzito na mtoto kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili wa Kampeni ya Wazazi Nipendeni utakaofanyika kesho katika...
9 years ago
VijimamboSWALA YA IDD EL HAJI ILIVYOFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
GPLSWALA YA IDD EL HAJI ILIVYOFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
Dewji Blog25 Jul
Uzinduzi wa kampeni ya ‘Wazazi Nipendeni’ awamu ya pili wafanyika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Neema Rusibamayila kwa niaba ya Waziri wa wizara hiyo Dk. Seif Rashid (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya Wazazi Nipendeni awamu ya pili katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam jana mchana. Wa kwanza kushoto ni Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), Anna Bodipo Memba na wa pili kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Magema.
10 years ago
VijimamboUZINDUZI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI AWAMU YA PILI WAFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
MichuziNYAMLANI MGENI RASMI MASHINDANO YA ROBO FAINALI YAKWANZA YA MTEMVU CUP, DAR
10 years ago
MichuziNUSU FAINALI YA MTEMVU CUP YAPIGWA MWEMBE YANGA