Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ELISANTE OLE GABRIEL AZINDUA FAINALI ZA AIRTEL RISING STAR JIJINI DAR ES SALAAM

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Elisante Ole Gabriel leo Jumapili, Septemba 13, amezindua rasmi michuano ya Airtel Rising Stars kitaifa kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es salaam.Akiongea wakati wa uzinduzi wa michuano hiyo, Ole Gabreil ameipongeza kampuni ya simu za mkononi ya Airtel nchini kwa kuendesha michuano hiyo, ambayo inawapa nafasi vijana wa kike na kiume kuonyesha vipaji vyao vya kucheza mpira wa miguu.Ole Gabriel ameiomba Airtel kuendelea...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Profesa Elisante Ole Gabriel mgeni Rasmi katika mahafali ya Shule ya Awali ya Sunrise jijini Dar

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akipokea zawadi ya maua kutoka kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi na Awali Sunrise ya jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa mgeni rasmi katika mahafali ya Saba ya wahitimu wa Darasa la Saba jana.Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na M,ichezo Profesa Elisante Ole Gabriel akizungumza na wazazi na wanafunzi wakati wa mahafali ya wahitimu wa Darasa la Saba wa Shule ya Msingi na...

 

11 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA VIJANA YA AIRTEL RISING STAR YAZINDULIWA JIJINI DAR

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Saidi Meck Sadiki akisalimiana na wachezaji wa timu za Ilala wakati akizindua rasmi mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa wa Dar es Salaam jana.  Mshambuliaji wa timu ya Ilala, Rashid Mohamed (kulia) akimtoka beki wa timu ya Buguruni Youth Center, Khamis Mohamed katika mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa wa Dar es Salaam jana.  Mshambuliaji wa timu ya Ilala, Edwin Francis (kushoto) akituliza mpira mbele ya  beki wa timu ya Buguruni...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKANGARA KUZINDUA FAINALI ZA AIRTEL RISING STAR LEO


Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dr. Fenella Mkangara leo Jumapili, Septemba 13, 2015 saa 8 kamili mchana anatarajiwa kuzindua rasmi fainali za michuano ya Airtel Rising Star katika uwanja wa Karume jijini Dar es salaam.
Jumla ya timu sita zinatarajiwa kushiriki michuano hiyo ambayo imekua ikifanyika kila mwaka nchini kwa udhamini wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, ambapo vijana wenye vipaji huchaguliwa na kupata nafasi ya kujiunga na vituo vya michezo (Academy)...

 

9 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa WHUS, Prf. Elisante Ole Gabriel katika picha tukio la kumuaga Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko

pics 1Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akifungua Mhadhara wa ukuzaji Kiswahili kupitia tafsiri ulioandaliwa na Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko katika hafla ya kumuaga Mkurugenzi huyo anayemaliza muda wake wa utumishi wa umma.(Picha zote na Benjamin Sawe-WHUSM).

pics 2

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akipokea rasimu ya awali ya ukuzaji wa Kiswahili kupitia Tafsiri ikiwa ni...

 

11 years ago

Michuzi

mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star yazinduliwa jijini mwanza

 Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa huo jana.   Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akisalimiana na wachezaji wa timu za Mwanza wakati akizindua rasmi mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa huo jana.

 

11 years ago

GPL

MASHINDANO YA AIRTEL RISING STAR YAZINDULIWA RASMI DAR

Wachezaji wa timu ya Ilala (wenye jezi nyekundu) wakiwa uwanjani wenye jezi nyeupe ni timu ya Buguruni Youth Center ‘’BYC’’. Mashabiki wakifuatilia mechi kati ya timu ya Buguruni Youth Center na Ilala.…

 

10 years ago

Michuzi

timu ya Mbaspo Academy ndio mabingwa wa michuano ya Airtel Rising Star jijini Mbeya.

 Ofisa elimu wa jiji la Mbeya Protas Mpogole akimkabidhi nahodha wa timu ya Mbaspo Academy Biva Stiven baada ya timu yake kuibuka bingwa wa michuano ya Airtel Rising Star, jana jijini Mbeya. 

Wachezaji wa timu ya Mbaspo Academy wakishangilia baada ya kuwa mabingwa katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars. Michuano hiyo ilimalizika jana jijini Mbeya.

 

9 years ago

Michuzi

Prof. Ole Gabriel mgeni rasmi maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel aliyevaa suti akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya vijana wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za kujitolea wakati wa maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni Prof. Elisante Ole Gabriel wa pili kutoka kulia akiongea na wanahabari katika maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Michuzi

michuano ya Airtel Rising Stars Yaendelea kurindima uwanja wa karume jijini dar

 Nahodha wa Timu ya Ilala, Maisala Adam (kulia) akimiliki mpira asinyang'anywe na mshabuliaji wa Kinondoni, Ibrahimu Chuli wakati wa michuano ya Airtel Rising Stars inayofanyika katika Kiwanja cha Karume jijini Dar es Salaam jana. Timu ya Ilala ilishinda 1-0.  Mchezaji wa Timu ya Ilala, Hussein Rashid (kulia) akipimana ubavu na Beki wa Timu ya Kinondoni, Miraji Kwangaya wakati wa michuano ya Airtel Rising Stars inayofanyika katika Kiwanja cha Karume jijini Dar es Salaam jana. Timu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani