Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKANGARA KUZINDUA FAINALI ZA AIRTEL RISING STAR LEO


Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dr. Fenella Mkangara leo Jumapili, Septemba 13, 2015 saa 8 kamili mchana anatarajiwa kuzindua rasmi fainali za michuano ya Airtel Rising Star katika uwanja wa Karume jijini Dar es salaam.
Jumla ya timu sita zinatarajiwa kushiriki michuano hiyo ambayo imekua ikifanyika kila mwaka nchini kwa udhamini wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, ambapo vijana wenye vipaji huchaguliwa na kupata nafasi ya kujiunga na vituo vya michezo (Academy)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ELISANTE OLE GABRIEL AZINDUA FAINALI ZA AIRTEL RISING STAR JIJINI DAR ES SALAAM

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Elisante Ole Gabriel leo Jumapili, Septemba 13, amezindua rasmi michuano ya Airtel Rising Stars kitaifa kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es salaam.Akiongea wakati wa uzinduzi wa michuano hiyo, Ole Gabreil ameipongeza kampuni ya simu za mkononi ya Airtel nchini kwa kuendesha michuano hiyo, ambayo inawapa nafasi vijana wa kike na kiume kuonyesha vipaji vyao vya kucheza mpira wa miguu.Ole Gabriel ameiomba Airtel kuendelea...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI LEO AFUNGA FAINALI ZA MICHUANO YA KOMBE LA AIRTEL RISING STARS

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi leo amefunga fainali za michuano ya kombe la Airtel Rising Stars katika uwanja Karume jijini Dar es salaam.Akiongea kwakati wa ufungaji michuano ya airtel mbele ya halaiki ya vijana walioshirki michuano hiyo, Malinzi ameishukuru kampuni ya simu ya Airtel kwa kuendelea kudhamini michuano hiyo ambayo inawapa nafasi vijana ya kucheza mpira na kuonekana na baadae kujipatia ajira.“Lengo la TFF ni kushirki fainali za Olimpiki za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Airtel Rising Star 2014 wiki ijayo

PAZIA la mashindano ya soka ya vijana chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars 2014, linatarajiwa kufunguliwa jijini Dar es Salaam mapema wiki ijayo ambapo kwa kushirikiana na Shirikisho...

 

11 years ago

GPL

MASHINDANO YA AIRTEL RISING STAR YAZINDULIWA RASMI DAR

Wachezaji wa timu ya Ilala (wenye jezi nyekundu) wakiwa uwanjani wenye jezi nyeupe ni timu ya Buguruni Youth Center ‘’BYC’’. Mashabiki wakifuatilia mechi kati ya timu ya Buguruni Youth Center na Ilala.…

 

10 years ago

Michuzi

Mbaspo Academy mabingwa wa Airtel Rising Star mbeya

Ofisa elimu wa jiji la Mbeya, Protas Mpogole akimkabidhi nahodha wa timu ya Mbaspo Academy Biva Stiven baada ya timu yake kuibuka bingwa wa michuano ya Airtel Rising Star, jana jijini Mbeya. Wachezaji wa timu ya Mbaspo Academy wakishangilia baada ya kuwa mabingwa katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars. Michuano hiyo ilimalizika jana jijini Mbeya.

 

10 years ago

GPL

TEMEKE WATINGA FAINALI AIRTEL RISING STARS

Mchezaji wa timu ya Ilala Rukia Annaph (kushoto) akichuana vikali na mchezaji wa timu ya Temeke Christina Daudi katika mchezo wa nusu fainali ya Airtel Rising Stars kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi September 17. Temeke ilishinda 2-1 Mchezaji wa timu ya Ilala Tumaini Michael (Kulia) akimtoka mchezaji wa timu ya Temeke Shamimu Hamis katika mchezo wa nusu fainali ya Airtel Rising Stars kwenye Uwanja wa...

 

11 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA VIJANA YA AIRTEL RISING STAR YAZINDULIWA JIJINI DAR

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Saidi Meck Sadiki akisalimiana na wachezaji wa timu za Ilala wakati akizindua rasmi mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa wa Dar es Salaam jana.  Mshambuliaji wa timu ya Ilala, Rashid Mohamed (kulia) akimtoka beki wa timu ya Buguruni Youth Center, Khamis Mohamed katika mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa wa Dar es Salaam jana.  Mshambuliaji wa timu ya Ilala, Edwin Francis (kushoto) akituliza mpira mbele ya  beki wa timu ya Buguruni...

 

11 years ago

Michuzi

mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star yazinduliwa jijini mwanza

 Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa huo jana.   Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akisalimiana na wachezaji wa timu za Mwanza wakati akizindua rasmi mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa huo jana.

 

10 years ago

Michuzi

timu ya Mbaspo Academy ndio mabingwa wa michuano ya Airtel Rising Star jijini Mbeya.

 Ofisa elimu wa jiji la Mbeya Protas Mpogole akimkabidhi nahodha wa timu ya Mbaspo Academy Biva Stiven baada ya timu yake kuibuka bingwa wa michuano ya Airtel Rising Star, jana jijini Mbeya. 

Wachezaji wa timu ya Mbaspo Academy wakishangilia baada ya kuwa mabingwa katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars. Michuano hiyo ilimalizika jana jijini Mbeya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani