Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbaspo Academy mabingwa wa Airtel Rising Star mbeya

Ofisa elimu wa jiji la Mbeya, Protas Mpogole akimkabidhi nahodha wa timu ya Mbaspo Academy Biva Stiven baada ya timu yake kuibuka bingwa wa michuano ya Airtel Rising Star, jana jijini Mbeya. Wachezaji wa timu ya Mbaspo Academy wakishangilia baada ya kuwa mabingwa katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars. Michuano hiyo ilimalizika jana jijini Mbeya.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

timu ya Mbaspo Academy ndio mabingwa wa michuano ya Airtel Rising Star jijini Mbeya.

 Ofisa elimu wa jiji la Mbeya Protas Mpogole akimkabidhi nahodha wa timu ya Mbaspo Academy Biva Stiven baada ya timu yake kuibuka bingwa wa michuano ya Airtel Rising Star, jana jijini Mbeya. 

Wachezaji wa timu ya Mbaspo Academy wakishangilia baada ya kuwa mabingwa katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars. Michuano hiyo ilimalizika jana jijini Mbeya.

 

9 years ago

Michuzi

ALLIANCE, MARSH MABINGWA AIRTEL RISING STARS MWANZA


 Nahodha wa timu ya Alliance Academy Ally Hamisi (kushoto) akikabidhiwakombe na Mwenyekiti wa Soka Mkoa wa Mwanza (MZFA)Bw. Jackson Songora baada ya kutwaa ubingwa wa U-17 Airtel Rising Stars mkoa wa Mwanza upande wa wavulana jana.Nahodha wa timu ya wasichana ya Marsh Meriany Kimbuya (kushoto)akikabidhiwa na kombe na Meneja Masoko wa Airtel Kanda ya Ziwa Bw.Emmanuel Raphael baada ya kutwaa ubingwa wa U-17 Airtel Rising Starsmkoa wa Mwanza upande wa wasichana jana.
TIMU  ya wavulana ya...

 

9 years ago

GPL

ALLIANCE, MARSH MABINGWA AIRTEL RISING STARS MZA

Nahodha wa timu ya Alliance Academy Ally Hamisi (kushoto) akikabidhiwa kombe na Mwenyekiti wa Soka Mkoa wa Mwanza (MZFA)Bw. Jackson Songora baada ya kutwaa ubingwa wa U-17 Airtel Rising Stars mkoa wa Mwanza upande wa wavulana jana. Nahodha wa timu ya wasichana ya Marsh Meriany Kimbuya (kushoto) akikabidhiwa na kombe na Meneja Masoko wa Airtel Kanda ya Ziwa Bw. Emmanuel Raphael baada ya kutwaa ubingwa wa U-17...

 

11 years ago

Michuzi

Mabingwa Airtel Rising Stars wasichana wajazwa noti

TIMU ya wasichana ya Tanzania imekabidhiwa zawadi ya Sh milioni 16 baada ya kutwaa ubingwa wa michuano ya vijana walio chini ya umri wa miaka 17 ya Kimataifa ya Airtel Rising Stars iliyofanyika Septemba mwaka jana nchini Nigeria.
Timu hiyo ilitwaa taji hilo baada ya kuifunga Kenya bao 1-0 lililofungwa na Donisia Daniel katika fainali hiyo.
Akipokea fedha hizo jana (Februari 10, 2014) Katibu wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), Msanifu Kondo alisema wanaishukuru...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Airtel Rising Star 2014 wiki ijayo

PAZIA la mashindano ya soka ya vijana chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars 2014, linatarajiwa kufunguliwa jijini Dar es Salaam mapema wiki ijayo ambapo kwa kushirikiana na Shirikisho...

 

11 years ago

Michuzi

Mkuu wa mkoa wa Mbeya,Mh Abbas Kandoro afungua mashindano ya Airtel Rising Stars Mbeya

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya  Mh. Abbas Kandoro  akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Mbaspo wakati akifungua rasmi mashindano ya Airtel Rising Stars.  Mkuu wa Mkoa wa Mbeya  Mh. Abbas Kandoro  akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Mbozi wakati akifungua rasmi mashindano ya Airtel Rising Stars.  Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro akipiga mpira kuashiria ufunguzi wa mashindano ya Airtel Rising Stars Mbeya 


Kandoro afagilia mashindano ya vijana.
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro amefungua...

 

11 years ago

GPL

MASHINDANO YA AIRTEL RISING STAR YAZINDULIWA RASMI DAR

Wachezaji wa timu ya Ilala (wenye jezi nyekundu) wakiwa uwanjani wenye jezi nyeupe ni timu ya Buguruni Youth Center ‘’BYC’’. Mashabiki wakifuatilia mechi kati ya timu ya Buguruni Youth Center na Ilala.…

 

11 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA VIJANA YA AIRTEL RISING STAR YAZINDULIWA JIJINI DAR

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Saidi Meck Sadiki akisalimiana na wachezaji wa timu za Ilala wakati akizindua rasmi mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa wa Dar es Salaam jana.  Mshambuliaji wa timu ya Ilala, Rashid Mohamed (kulia) akimtoka beki wa timu ya Buguruni Youth Center, Khamis Mohamed katika mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa wa Dar es Salaam jana.  Mshambuliaji wa timu ya Ilala, Edwin Francis (kushoto) akituliza mpira mbele ya  beki wa timu ya Buguruni...

 

11 years ago

Michuzi

mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star yazinduliwa jijini mwanza

 Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa huo jana.   Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akisalimiana na wachezaji wa timu za Mwanza wakati akizindua rasmi mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa huo jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani