Katibu Mkuu wa WHUS, Prf. Elisante Ole Gabriel katika picha tukio la kumuaga Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akifungua Mhadhara wa ukuzaji Kiswahili kupitia tafsiri ulioandaliwa na Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko katika hafla ya kumuaga Mkurugenzi huyo anayemaliza muda wake wa utumishi wa umma.(Picha zote na Benjamin Sawe-WHUSM).
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akipokea rasimu ya awali ya ukuzaji wa Kiswahili kupitia Tafsiri ikiwa ni...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni wa WHUSM Profesa Hermas Mwansoko aagwa rasmi
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akifungua Mhadhara wa ukuzaji Kiswahili kupitia tafsiri ulioandaliwa na Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko katika hafla ya kumuaga Mkurugenzi huyo anayemaliza muda wake wa utumishi wa umma.(Picha zote na Benjamin Sawe-WHUSM).
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akipokea rasimu ya awali ya ukuzaji wa Kiswahili kupitia Tafsiri ikiwa ni...
11 years ago
MichuziProfesa Elisante Ole Gabriel mgeni Rasmi katika mahafali ya Shule ya Awali ya Sunrise jijini Dar
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-vC3Vd0R7tJk/VnFOD99eMjI/AAAAAAAIMwo/RZszMe-fKMk/s72-c/UT0.jpg)
Profesa Mwansoko awaaga watumishi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni
![](http://2.bp.blogspot.com/-vC3Vd0R7tJk/VnFOD99eMjI/AAAAAAAIMwo/RZszMe-fKMk/s640/UT0.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-FIAbf-1-3fk/VnFOIrl6xSI/AAAAAAAIMxI/M9uPfyy2FW0/s640/UT1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-MEyie7rKJeI/VnFOEab7jlI/AAAAAAAIMww/kC7hynY6skk/s640/UT2.jpg)
5 years ago
MichuziKATIBU MKUU PROFESA OLE GABRIEL AFUNGUA MKUTANO WA VYAMA VYA WAFUGAJI WA KUKU, NGURUWE
Profesa Gabriel ameyasema hayo leo Jumamosi Machi 7, 2020 wakati wa kufungua mkutano wa wadau mbalimbali wa sekta Mifugo jijini Dar es Salaam.
Wadau wa Mkutano huo ni vyama vya Wafugaji Kuku Nguruwe pamoja na wadau wa ngozi uliolenga kupokea changamoto za katika Biashara Biashara...
9 years ago
Michuzi14 Sep
ELISANTE OLE GABRIEL AZINDUA FAINALI ZA AIRTEL RISING STAR JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://tff.or.tz/images/ars.png)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vS91bNVLCL8/VafkgkZqpMI/AAAAAAAHqHU/Wa-mfYklEto/s72-c/unnamed%2B%252833%2529.jpg)
Mkurugenzi Mkuu mpya TCRA Dkt.Ally Yahaya Simba amtembelea Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
![](http://3.bp.blogspot.com/-vS91bNVLCL8/VafkgkZqpMI/AAAAAAAHqHU/Wa-mfYklEto/s640/unnamed%2B%252833%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-gIVlifSpd8I/VafklLcnB8I/AAAAAAAHqHk/5DuUpv4LC2U/s640/unnamed%2B%252834%2529.jpg)
9 years ago
MichuziKatibu mtendaji BAKITA amkabidhi kamusi kuu mpya ya kiswahili katibu mkuu wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo
5 years ago
MichuziKATIBU MKUU MWALUKO AITAKA IDARA YA MPIGA CHAPA MKUU WA SERIKALI YA KIDIGITALI
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji), Dorothy Mwaluko ameeleza kuwa Katika kuhakikisha kuwa Idara ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali inakidhi mahitaji ya wateja wake kwa kuzingatia ubora wa huduma, ameitaka idara hiyo kuwekeza kwenye matumizi ya mashine za kidigitali ambazo zina uwezo wa uchapaji kwa kasi kubwa, viwango bora na kwa idadi kubwa ndani ya muda mfupi.
Akiongea mara baada kutembelea Wakala wa Uchapaji wa Serikali Zanzibar kwa lengo la...