Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Airtel Rising Stars 2014 yazinduliwa Dar

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, jana imezindua rasmi msimu wa nne wa mashindano ya soka kwa vijana chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars (ARS), yanayotarajiwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Michuano ya Airtel Rising Stars Mkoani Arusha Yazinduliwa Rasmi

Katibu tawala mkoa wa Arusha Ado Mapunda jana alizindua mashindano ya kuibua vipaji vya soka kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars jijini Arusha na kuwataka vijana wanaoshiriki mashindano hayo kujituma na kucheza kwa bidii ili kutimiza ndoto zao za kuwa wachezaji nyota.
Hafla ya ufunguzi ilihudhuliwa na viongozi wa shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) mkoa wa Arusha, mdhamini wa mashindano Airtel Tanzania na wadau wengine wa soka. Ufunguzi huo uliufanyika katika...

 

11 years ago

GPL

MASHINDANO YA AIRTEL RISING STAR YAZINDULIWA RASMI DAR

Wachezaji wa timu ya Ilala (wenye jezi nyekundu) wakiwa uwanjani wenye jezi nyeupe ni timu ya Buguruni Youth Center ‘’BYC’’. Mashabiki wakifuatilia mechi kati ya timu ya Buguruni Youth Center na Ilala.…

 

11 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA VIJANA YA AIRTEL RISING STAR YAZINDULIWA JIJINI DAR

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Saidi Meck Sadiki akisalimiana na wachezaji wa timu za Ilala wakati akizindua rasmi mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa wa Dar es Salaam jana.  Mshambuliaji wa timu ya Ilala, Rashid Mohamed (kulia) akimtoka beki wa timu ya Buguruni Youth Center, Khamis Mohamed katika mashindano ya vijana ya Airtel Rising Star kwa mkoa wa Dar es Salaam jana.  Mshambuliaji wa timu ya Ilala, Edwin Francis (kushoto) akituliza mpira mbele ya  beki wa timu ya Buguruni...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAENDESHA SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WA SOKA KWA AJILI YA KUJIANDAA NA MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS 2014‏

Meneja Matukio wa Airtel Tanzania Rebeca Mauma akizungumza wakati wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars iliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya washiriki wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars wakifuatilia kwa makini moja ya mada zilizowasilishwa kwenye semina hiyo iliyofanyika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa… ...

 

10 years ago

Michuzi

WASHINDI AIRTEL RISING STARS DAR WATUNUKIA

 Mtendaji mkuu bodi ya ligi Boniface Wambura akimkabidhi Kombe nahodhawa timu ya Harmburg Queens Jamila Kassim baada ya kuwa mabingwa katikamichuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Starsmkoa wa kisoka wa Ilala. Hafla ya kukabidhi kombe ilifanyika janakatika uwanja wa Kumbukumbu ya Karume Jijini Dar-es-Salaam.  Mtendaji mkuu bodi ya ligi Boniface Wambura akimkabidhi Kombe nahodha wa timu ya Evergreen Linda Shilla baada ya kuwa mabingwa katika michuano ya vijana chini ya...

 

10 years ago

GPL

KINONDONI, ILALAMABINGWA U-17 AIRTEL RISING STARS DAR

Nahodha wa timu ya wasichana ya Kinondoni,Sylvia Mwacha (kushoto), akikabidhiwa kombe na Meneja wa Airtel kanda ya Dar es Salaam,Bw. Fredrick Mwakitwange (kulia), baada ya kutwaa ubingwa wa U-17 Airtel Rising Stars mkoa wa Dar es Salaam upande wa wasichana jana. Nahodha wa timu ya Wavulana ya Ilala,Abdul Hassan (kushoto), akikabidhiwa kombe na Meneja wa Airtel kanda ya Dar es Salaam Bw. Fredrick Mwakitwange (kulia), baada ya...

 

10 years ago

GPL

WASHINDI AIRTEL RISING STARS DAR WATUNUKIA‏

Mtendaji mkuu bodi ya ligi Boniface Wambura akimkabidhi Kombe nahodha wa timu ya Harmburg Queens Jamila Kassim baada ya kuwa mabingwa katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars mkoa wa kisoka wa Ilala. Hafla ya kukabidhi kombe ilifanyika jana katika uwanja wa Kumbukumbu ya Karume Jijini Dar-es-Salaam.…

 

11 years ago

Michuzi

Washiriki wa kliniki ya Airtel Rising Stars kutua Dar Jumatatu

 Airtel Public Relations Manager Jackson Mbando speaks to the media at a press conference to announce the forthcoming Manchester United International Soccer Clinic to be held in Dar es Salaam from 23rd-27th April under the tutelage of coaches from Manchester United Soccer Schools.  He is flanked by the Tanzania Football Federation (TFF) President Jamal Malinzi .The event was held at the Airtel Tanzania Headquarters, 18th April 2014.   Tanzania Football Federation (TFF) President Jamal...

 

11 years ago

Michuzi

michuano ya Airtel Rising Stars Yaendelea kurindima uwanja wa karume jijini dar

 Nahodha wa Timu ya Ilala, Maisala Adam (kulia) akimiliki mpira asinyang'anywe na mshabuliaji wa Kinondoni, Ibrahimu Chuli wakati wa michuano ya Airtel Rising Stars inayofanyika katika Kiwanja cha Karume jijini Dar es Salaam jana. Timu ya Ilala ilishinda 1-0.  Mchezaji wa Timu ya Ilala, Hussein Rashid (kulia) akipimana ubavu na Beki wa Timu ya Kinondoni, Miraji Kwangaya wakati wa michuano ya Airtel Rising Stars inayofanyika katika Kiwanja cha Karume jijini Dar es Salaam jana. Timu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani