Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moro Kids bingwa Airtel Rising Stars Morogoro

Timu ya Moro Kids imeukwaa uchampioni wa mashindano ya soka ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars mkoa wa Morogoro baada ya kuwafunga Kihonda 2-1 katika mchezo wa funga dimba uliopigwa jana kwenye uwanja wa Shujaa mjini Morogoro.
Ushindi huo kwenye mchezo wa jana uliohudhuriwa na mashabiki wengi uliwawezesha Moro Kids kufikisha pointi sita wakifuatiwa na timu ya Tecfort iliyohitimisha mashindano hayo ya mkoa ikiwa na pointi tatu.
Wakati huo huo chama cha soka mkoani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

Morogoro RC opens Airtel Rising Stars

Morogoro Regional Commissioner honourable Rajabu Rutengwe opened the U-17 Airtel Rising Stars in Morogoro yesterday and called on regional football association and the Tanzania Football Federation (TFF) to pay special attention to youth programmes.

 

9 years ago

Michuzi

Mwanza yaiadhibu Morogoro katika michuano ya Airtel Rising Stars

Patashika ya michuano ya vijana chini ya miaka 12 ya Airtel Rising Stars ngazi ya taifa, imeendelea kutimua vumbi katika dimba la Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es Salaam, ambapo timu za Temeke na Mwanza zilipepetana kwa upande wa wasichana huku Mwanza na Morogoro walitifuana vikali kwa upande wa wavulana. Kwa kuanzia na mchezo ambao ulizikutanisha timu za wavulana, Mwanza waliwasambaratisha vibaya Morogoro kwa kuwashindilia magoli 3-1. Mwanza ambao walionekana kutakata kila idara,...

 

11 years ago

Michuzi

Bendera atilia mkazo soka la vijana wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Airtel Rising Stars mkoani morogoro

Mkuu wa Morogoro Joel Bendera akipiga mpira kuashiria uzinduzi wa Airtel Rising Stars mkoani Morogoro.  
 Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera akikagua timu wakati wa uzinduzi wa Airtel Rising Stars mkoani Morogoro.

Bendera atilia mkazo soka la vijana.Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera, atilia mkazo soka la vijana na kuwataka viongozi wa mpira wa miguu mkoa wa Morogoro na chama cha mpira wa miguu Tanzania kutilia mkazo program za vijana.
Kocha wa zamani wa timu ya Taifa – Taifa Stars atoa...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel wakabidhi jezi kwa timu zitakazoshiriki michuano ya Airtel Rising Stars

Mwenyekiti kamati ya soka la vijana katika Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Ayubu Njenza (kushoto) akimkabidhi vifaa vya michezo katibu wa chama cha mpira wa miguu Wilaya ya Kinondoni,Isaac Mazwile kwaajili ya mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars, inayoanza tarehe 24 Julai mkoani Mbeya. katikati ni Afisa Uhusiano Airtel,Jane Matinde. Makabidhiano hayo yalifanyika leo jijini Dar-es-Salaam. Mwenyekiti kamati ya soka la vijana katika Shirikisho la Soka...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL WAKABIDHI JEZI KWA TIMU ZITAKAZOSHIRIKI MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS‏

Mwenyekiti kamati ya soka la vijana katika Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Ayubu Njenza (kushoto) akimkabidhi vifaa vya michezo katibu wa chama cha mpira wa miguu Wilaya ya Kinondoni,Isaac Mazwile kwaajili ya mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars, inayoanza tarehe 24 Julai mkoani Mbeya. katikati ni Afisa Uhusiano Airtel,Jane Matinde. Makabidhiano hayo yalifanyika jana jijini Dar-es-Salaam. ...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL RISING STARS MBEYA

Ofisa Elimu wa Jiji la Mbeya Protas Mpogole akimkabidhi nahodha wa timu ya Mbaspo Academy Biva Stiven baada ya timu yake kuibuka bingwa wa michuano ya Airtel Rising Star, jana jijini Mbeya. Wachezaji wa timu ya Mbaspo Academy wakishangilia baada ya kuwa mabingwa katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars. Michuano hiyo ilimalizika jana jijini Mbeya.… ...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAENDESHA SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WA SOKA KWA AJILI YA KUJIANDAA NA MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS 2014‏

Meneja Matukio wa Airtel Tanzania Rebeca Mauma akizungumza wakati wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars iliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya washiriki wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars wakifuatilia kwa makini moja ya mada zilizowasilishwa kwenye semina hiyo iliyofanyika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa… ...

 

10 years ago

GPL

VIJANA WATAKIWA KUJITUMA AIRTEL RISING STARS

Mkurugenzi wa IT wa Airtel Frank Filman akiongea wakati wa ufunguzi wa mashindano ya Airtel Rising Stars jana jijini Dar-es-Saam.…

 

9 years ago

Vijimambo

Mariado wanyakua ubingwa Airtel Rising Stars

 Katibu wa chama cha mpira wa miguu mkoa wa Arusha Adam Brown akikabidhi kombe la ubingwa kwa nahodha wa timu ya Mariado Munira Goda baada ya timu yake kuibuka bingwa wa michuano ya Airtel Rising Star, jana jijini ArushaTimu ya Mariado wakishangalia ubingwa kwa staili ya aina yake baada ya kuibuka mabingwa wa michuano ya Airtel Rising Star, Agosti 20 jana Arusha,
Na mwandishi wetu.Timu ya wasichana ya Mariado imefanikiwa kunyakua ubingwa wa mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani