VIJANA WATAKIWA KUJITUMA AIRTEL RISING STARS
![](http://api.ning.com:80/files/REqOXlBbGhj9IAzxES9y08N4AyJRU11DBrY42Z7mwZJiXG3HXS5DP8CB4OfSotflU8b9of8vRxjTQC78QwPQ0qU1c-1sg7E*/DSC_0586.jpg?width=650)
Mkurugenzi wa IT wa Airtel Frank Filman akiongea wakati wa ufunguzi wa mashindano ya Airtel Rising Stars jana jijini Dar-es-Saam.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziBendera atilia mkazo soka la vijana wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Airtel Rising Stars mkoani morogoro
Bendera atilia mkazo soka la vijana.Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera, atilia mkazo soka la vijana na kuwataka viongozi wa mpira wa miguu mkoa wa Morogoro na chama cha mpira wa miguu Tanzania kutilia mkazo program za vijana.
Kocha wa zamani wa timu ya Taifa – Taifa Stars atoa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-SArOyutHoIk/VYK8AxA-B0I/AAAAAAAHg8E/GkCU6ETr81A/s72-c/unnamed%2B%252853%2529.jpg)
msimu wa tano wa mashindano ya soka kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars wazinduliwa leo
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania leo imezindua rasmi msimu wa tano wa mashindano ya soka kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars ambayo yataanza kutimua vumbi Agosti 8 katika ngazi ya awali na kuhitimishwa kwa fainali za Taifa jijini Dar es Salaam kuanzia Septemba 11 - 21 mwaka huu. Akiongea na waandishi wa habari kwenye hafla ya uzinduzi jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Beatrice Singano amesema kampuni ya Airtel Tanzania ...
10 years ago
MichuziAirtel wakabidhi jezi kwa timu zitakazoshiriki michuano ya Airtel Rising Stars
10 years ago
GPLAIRTEL WAKABIDHI JEZI KWA TIMU ZITAKAZOSHIRIKI MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS
Mwenyekiti kamati ya soka la vijana katika Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Ayubu Njenza (kushoto) akimkabidhi vifaa vya michezo katibu wa chama cha mpira wa miguu Wilaya ya Kinondoni,Isaac Mazwile kwaajili ya mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars, inayoanza tarehe 24 Julai mkoani Mbeya. katikati ni Afisa Uhusiano Airtel,Jane Matinde. Makabidhiano hayo yalifanyika jana jijini Dar-es-Salaam. ...
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0869.jpg?width=650)
AIRTEL RISING STARS MBEYA
Ofisa Elimu wa Jiji la Mbeya Protas Mpogole akimkabidhi nahodha wa timu ya Mbaspo Academy Biva Stiven baada ya timu yake kuibuka bingwa wa michuano ya Airtel Rising Star, jana jijini Mbeya. Wachezaji wa timu ya Mbaspo Academy wakishangilia baada ya kuwa mabingwa katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars. Michuano hiyo ilimalizika jana jijini Mbeya.… ...
11 years ago
GPLAIRTEL YAENDESHA SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WA SOKA KWA AJILI YA KUJIANDAA NA MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS 2014
Meneja Matukio wa Airtel Tanzania Rebeca Mauma akizungumza wakati wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars iliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya washiriki wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars wakifuatilia kwa makini moja ya mada zilizowasilishwa kwenye semina hiyo iliyofanyika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa… ...
10 years ago
TheCitizen03 Aug
Morogoro RC opens Airtel Rising Stars
Morogoro Regional Commissioner honourable Rajabu Rutengwe opened the U-17 Airtel Rising Stars in Morogoro yesterday and called on regional football association and the Tanzania Football Federation (TFF) to pay special attention to youth programmes.
10 years ago
MichuziTFF yaweka msisitizo Airtel Rising Stars
![](http://3.bp.blogspot.com/-X_hbK4d9TXo/VZzpnFRzp3I/AAAAAAAHnr4/klyMQCkvrOA/s640/Picture%2B2.jpg)
9 years ago
GPLTEMEKE WATINGA FAINALI AIRTEL RISING STARS
Mchezaji wa timu ya Ilala Rukia Annaph (kushoto) akichuana vikali na mchezaji wa timu ya Temeke Christina Daudi katika mchezo wa nusu fainali ya Airtel Rising Stars kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi September 17. Temeke ilishinda 2-1 Mchezaji wa timu ya Ilala Tumaini Michael (Kulia) akimtoka mchezaji wa timu ya Temeke Shamimu Hamis katika mchezo wa nusu fainali ya Airtel Rising Stars kwenye Uwanja wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania