Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chelsea,Arsenal na Mancity kucheza leo

Mshambuliaji ya Chelsea Diego Coast atacheza baada ya kusimamishwa kwa mechi moja huku mlinzi Gary Cahil akitarajiwa kucheza pia

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal,Chelsea na Mancity uwanjani Leo

Mshambuliaji Diego Costa,Vincent Kompany ,Emmanuel Adebayor,Oxlaide Chamberlain ni miongoni mwa wachezaji walio na majeraha.

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal,Mancity na Chelsea uwanjani

Arsenal,Chelsea na Mancity zitajibwaga uwanjani dhidi ya Newcastle,Hull City na Leicester .

 

10 years ago

BBCSwahili

Mancity,Chelsea na Arsenal zawika

Frank Lampard alifunga bao lake la 175 katika ligi ya Uingereza na kuipatia ushindi wa 1-0 timu yake ya Manchester City.

 

10 years ago

Michuzi

LEO MANCHESTER UNITED 2-1 EVERTON, CHELSEA 2-0 ARSENAL

 Na Sultani KipingoYaani ni kama kwamba kubadilika kimchezo kwa  kipa wa Man U David de Gea kutoka kuwa mchekea hadi mmoja wa makipa bora wa ligi kuu ya Uingereza kumekamilika. De Gea, hapana shaka, leo amedhihirisha kuwa mmoja wa walinda mlango hodari, tofauti na na msimu uliopita alipookuwa chini ya kocha David Moyes. Leo Mhispania huyu ameokoa penati na kupangua mipira kibao kumyima Mzee Arsene Wenge na Arsenal yake pointi 2 na kumuokoa kocha mpya Louis van Gaal kutoka katika kuti kavu

 

11 years ago

BBCSwahili

Arsenal kumenyana na Mancity

Arsenal na Manchster City kuchuana katika kombe la Charity Shield

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal,Mancity na Man U kuwania FA

Mshambuliaji wa Uingereza Theo Walcot anatarajiwa kuanza katika mechi ya leo ya raundi ya tatu ya kombe la FA dhidi ya Hull City.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mancity kutoana jasho na Arsenal

Sergio Aguero na Vincent Kompany wanatarajiwa kuanza baada ya kushirikishwa miongoni mwa wachezaji wa ziada wiki iliopita

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea,Mancity na Totenham nje ya F.A

Manchester City,Chelsea Southampton na Totenham zimeondolewa katika mechi za kombe la FA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani