LEO MANCHESTER UNITED 2-1 EVERTON, CHELSEA 2-0 ARSENAL
![](http://2.bp.blogspot.com/-qYPOErR0-HA/VDGMQ-vHs0I/AAAAAAAGoIA/HoxkhPKNU_E/s72-c/article-2781138-21F6D89300000578-488_636x322.jpg)
Na Sultani KipingoYaani ni kama kwamba kubadilika kimchezo kwa kipa wa Man U David de Gea kutoka kuwa mchekea hadi mmoja wa makipa bora wa ligi kuu ya Uingereza kumekamilika. De Gea, hapana shaka, leo amedhihirisha kuwa mmoja wa walinda mlango hodari, tofauti na na msimu uliopita alipookuwa chini ya kocha David Moyes. Leo Mhispania huyu ameokoa penati na kupangua mipira kibao kumyima Mzee Arsene Wenge na Arsenal yake pointi 2 na kumuokoa kocha mpya Louis van Gaal kutoka katika kuti kavu
![](http://1.bp.blogspot.com/-rzlveTyOCHk/VDGMRDWQ01I/AAAAAAAGoIE/5_RRLVv7QlU/s1600/article-2781267-21F74A7500000578-808_964x368.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Football.London25 Mar
Cesc Fabregas on Arsenal snub and why he joined Chelsea over Manchester United
10 years ago
GPLHALF TIME: EVERTON 2-0 MANCHESTER UNITED
5 years ago
BBC24 Feb
Arsenal 3-2 Everton: Aubameyang nets twice as Arsenal beat Everton in thriller
9 years ago
BBCSwahili04 Oct
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/72383000/jpg/_72383535_samueleto%26apos%3Bo3.jpg)
Chelsea 3-1 Manchester United
5 years ago
Evening Standard01 Mar
Manchester United XI vs Everton: Confirmed team news, predicted lineup, latest injuries for Premier League match
10 years ago
BBCSwahili19 Apr
Chelsea yailaza Manchester United
11 years ago
BBCSwahili13 Feb
Arsenal yatoka sare na Manchester United
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Manchester United, Chelsea zashindwa kutamba