Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge wapewe magari badala ya fedha

Gazeti hili jana lilikuwa na habari iliyopewa uzito mkubwa kwenye ukurasa wa kwanza kwamba ‘Wabunge wagomea Sh90milioni za ‘mashangingi’, fedha ambazo wanatakiwa kukopeshwa kwa ajili ya kununulia magari aina ya Toyota Land Cruiser (hardtop), ambayo ni vitendea kazi vyao. Wabunge hutakiwa kulipa nusu ya fedha hizo wakati nyingine ni mchango wa Serikali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wabunge kutaka wapewe ulinzi ni ubinafsi uliokithiri!

HAPANA! Wanasema ni ulevi wa madaraka. Lakini nini kimesababisha ulevi huu jamani? Nasikia sasa kuna mbunge keshaona ya ulimwengu huu aliyonayo hayamtoshi sasa anataka apewe ulinzi. Ebo! Kwani yamekuwa hayo sasa kwa wabunge...

 

11 years ago

Habarileo

Mwandosya- Posho ya wabunge wapewe waathirika wa mafuriko

MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Profesa Mark Mwandosya ameomba Bunge Maalumu la Katiba, kukata posho ya siku moja ya wajumbe wote wa Bunge hilo ili kuwapa pole waathirika wa mafuriko nchini, ikiwa ni pamoja na viongozi waliopata ajali ya helikopta.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Fedha za mfuko wa barabara wapewe wakandarasi wazawa


NA JUMBE USMAILLY, MANYONI
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amewaagiza wahandisi, mameneja wa mikoa wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na wakurugenzi wa halmashauri kuhakikisha fedha zote zilizotolewa na Mfuko wa Barabara, kazi zake zote zitolewe kwa wakandarasi wazalendo.
Dk. Magufuli alitoa agizo hilo mjini Manyoni mkoani Singida wakati akiweka jiwe la msingi la barabara ya mjini Manyoni yenye urefu wa kilomita 2.8 inayotengenezwa kwa kiwango cha lami kwa gharama ya sh. bilioni...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKABIDHI MAGARI 10 YA KUBEBEA WAGONJWA KWA WABUNGE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Dodoma Mjini ambaye pia ni Naibu Waziri , Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde wakati alipokabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge yenye thamani ya shilingi bilioni 6, Aprili 29, 2020. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na wa tatu kulia ni Mbunge wa Nyasa ambaye pia ni Naibu...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge walia na fedha za wanafunzi

WABUNGE waiomba serikali kuongeza fedha za mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu, kurejesha Idara ya Ukaguzi na kulipa malimbikizo yote wanayodaiwa na walimu.

 

11 years ago

Mwananchi

Kuomba fedha LAPF: Wabunge waumbuana

>Bunge jana liligeuka uwanja wa kurushiana makombora pale wabunge walipoumbuana kuhusu baadhi yao kudaiwa kuwa ombaomba katika Mfuko wa Pensheni kwa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (LAPF).

 

11 years ago

Michuzi

MTEMVU AKABIDHI MIKOPO YA MAGARI, BAJAJI, PIKIPIKI NA FEDHA TASLIMU KWA VIKOBA TEMEKE

 Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akimkabidhi ufunguo wa gari aina ya Noah katibu Mkuu wa Saccos ya Tujikwamue ya Chang'ombe, Dar es Salaam, Itika  Mwankenja katika hafla ya Taasisi ya PFT ya kukabidhi mikopo ya magari, bajaji, pikipiki na fedha kwa vicoba mbalimbali, Temeke, Dar es Salaam juzi. Mtemvu ni Mwenyekiti wa Taasisi hiyo.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG  Itika akiangalia wakati Mtemvu akiliwasha gari hilo.  Mtemvu akikabidhi mkopo wa bajaji kwa moja ya wana vicoba

 

11 years ago

Habarileo

‘Hakuna tatizo wabunge kuomba fedha LAPF’

IMEELEZWA kuwa suala la wabunge na mawaziri kuomba fedha kwa ajili ya maendeleo katika majimbo yao kwenye mifuko ya jamii na taasisi nyingine siyo baya, kwani wana fungu maalumu kwa ajili hiyo. Pia imeelezwa kuwa mbaya ni kukopa katika mifuko ya jamii na kushindwa kulipa, huku kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe akitajwa kukopa na sasa ana hati ya kukamatwa kutokana na tukio hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wahoji wizara kupewa fedha kiduchu

>Mjadala wa Kikao cha 12 cha Bunge la Bajeti jana ulitawaliwa na vilio vya kamati za Bunge na wabunge kuhoji sababu za Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto kupewa fedha kidogo ya maendeleo, huku Wizara ya Kazi na Ajira ikikosa kabisa fungu kutoka Hazina.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani