Wabunge kutaka wapewe ulinzi ni ubinafsi uliokithiri!
HAPANA! Wanasema ni ulevi wa madaraka. Lakini nini kimesababisha ulevi huu jamani? Nasikia sasa kuna mbunge keshaona ya ulimwengu huu aliyonayo hayamtoshi sasa anataka apewe ulinzi. Ebo! Kwani yamekuwa hayo sasa kwa wabunge...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 Apr
Padre: Wabunge acheni ubinafsi
WABUNGE wa Bunge Maalum la Katiba wameshauriwa kutambua kwamba karama na uwezo waliopewa ni kwa ajili ya kuandaa Katiba mpya ya kuipeleka Tanzania kwa miaka zaidi ya 50 ijayo na siyo kujikita katika maslahi yao binafsi.
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
Ubinafsi wa wabunge umezaa milioni 160/-
MOJA ya taarifa iliyonishtua ni ya wabunge kupata kiasi cha sh milioni 160 kila mmoja kama fao lililotengwa na Hazina tangu mwaka jana. Wabunge wamejiongezea asilimia 272 ya kiinua mgongo...
9 years ago
Mwananchi24 Nov
Wabunge wapewe magari badala ya fedha
11 years ago
Habarileo15 Apr
Mwandosya- Posho ya wabunge wapewe waathirika wa mafuriko
MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Profesa Mark Mwandosya ameomba Bunge Maalumu la Katiba, kukata posho ya siku moja ya wajumbe wote wa Bunge hilo ili kuwapa pole waathirika wa mafuriko nchini, ikiwa ni pamoja na viongozi waliopata ajali ya helikopta.
9 years ago
StarTV23 Oct
Tundu Lisu avituhumu vyombo vya ulinzi kutaka kutumika kupindisha matokeo
Polisi mkoani Singida imekanusha vikali tuhuma zilizotolewa na Mgombea Ubunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lisu akidai kuna vyombo vya ulinzi na usalama kutumika kupindisha ukweli wa matokeo katika jimbo lake.
Wakati wagombea wengine wakiendelea na kampeni za lala salama, Tundu Lisu anayewania kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Singida Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, anakutana na wanandishi wa habari...
10 years ago
Vijimambo21 Feb
Wabunge NCCR-Mageuzi wakanusha kutaka kukihama chama
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/kafulilas-feb21-2015.jpg)
Wabunge wawili wa chama cha NCCR-Mageuzi, wamekanusha kuwa na mkakati wa kukihama chama hicho na kwenda kujiunga na chama cha ACT-Tanzania.
Wakizungumza jijini Dar es Salaam jana, wabunge hao David Kafulila (Kigoma kusini) na Felix Mkosamali (Muhambwe), walisema taarifa iliyotolewa na kiongozi mmoja wa ACT kwamba wanataka kuchukua hatua hiyo ni njia ya kujitangaza kupitia wao.
Mkosamali alisema binafsi amezisikia taarifa za yeye kuhusishwa kuhama chama hicho, lakini amelipuuza...
10 years ago
Habarileo20 Mar
Wabunge waomba ulinzi wa polisi
BAADHI ya wabunge wameitaka Serikali kuona umuhimu wa kuwawekea ulinzi wabunge na viongozi wengine wa Serikali bila upendeleo, kwa kuwa wanaishi katika maisha ya hofu na hatarishi.
11 years ago
MichuziWABUNGE WA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) NA SAKATA LA KUTAKA KUMVUA MADARAKA SPIKA WA BUNGE HILO
11 years ago
Habarileo28 Feb
Umasikini uliokithiri kikwazo cha kujiunga na CHF
UMASIKINI wa kipato uliokithiri miongoni mwa wananchi, upungufu wa dawa , vifaa na vifaa tiba katika vituo vinavyotoa huduma za afya wilayani Nkasi, vimetajwa kutoa changamoto kwa wananchi katika kujiunga na Mfuko wa Afya ya Msingi (CHF) wilayani humo.