Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tundu Lisu avituhumu vyombo vya ulinzi kutaka kutumika kupindisha matokeo

Polisi mkoani Singida imekanusha vikali tuhuma zilizotolewa na Mgombea Ubunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lisu akidai kuna  vyombo vya ulinzi na usalama kutumika kupindisha ukweli wa matokeo katika jimbo lake.

Wakati wagombea  wengine wakiendelea na kampeni za lala salama,  Tundu Lisu anayewania kutetea  Ubunge wake katika Jimbo  la Singida Mashariki kwa tiketi  ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, anakutana na wanandishi wa habari...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI

Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilal akihutubia wakati akifungua mkutano huo. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaban Lila (kulia) na  Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jaji mstaafu Thomas Mihayo wakifuatilia mkutano huo. …

 

11 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal afungua mkutano wa mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, Jijini Dar

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).(Picha na OMR).

Na Ismail Ngayonga, MAELEZO

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal amevitaka vyombo vya habari na...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI, USALAMA NA SHERIA, JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Rais wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Jaji Thomas Mihayo, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Msikilize Tundu Lisu juu ya Slaa

http://www.voaswahili.com/audio/2941250.html

The post Msikilize Tundu Lisu juu ya Slaa appeared first on Mzalendo.net.

 

5 years ago

Michuzi

MATIBABU YA TUNDU LISU NCHINI UBELGIJI YALIVYOGEUKA 'MWIBA' KWA MBUNGE CHADEMA

*Ni Athony Komu ambaye sasa anaitwa msaliti, muongo
*Atoboa siri ya kamati ya watu sita iliyohusika kwa Lisu

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii

MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro Anthony Komu(Chadema) amekiri amewahi kuwa na tofauti na viongozi wa ngazi za juu wa Chama hicho na aliamini hayo ni mambo ya kawaida kwa taasisi kubwa na inayokuwa.

Kwa bahati mbaya kuwa na mtazamo tofauti na wenzie kwa kiwango kikubwa umechukuliwa kuwa uasi ndani ya chama jambo linalosababisha...

 

10 years ago

Habarileo

Wahitimu 16,600 JKT waajiriwa vyombo vya ulinzi

Dk Hussen Mwinyi.VIJANA 16,594 waliohudhuria mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wameajiriwa na vyombo vya Ulinzi na Usalama kuanzia mwaka 2011 hadi 2014.

 

10 years ago

Michuzi

NITABORESHA MASLAHI YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA-MAGUFULI

MGOMBEA urais kwa teketi ya CCM, Dk.John Magufuli akifafanua jambo kwa msisitizo huku akibainisha kuwa iwapo atachaguliwa kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu, basi Serikali yake itahakikisha inaboresha maslahi ya watumishi wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini kutokana na kutambua mchango wao katika kulinda amani ya nchi yetu.

Dkt Magufuli alisema kuwa anataka kuona watumishi wa jeshi hilo wanakuwa na mishahara mizuri na hiyo itawezesha kufanya kazi ya ulinzi na usalama wa nchi kwa ufanisi zaidi...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AAGWA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LEO



Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi  na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi liliandaliwa na vikosi mbalimbali wakati wa sherehe ya kuagewa rasmi na vyombo vya ulinzi na usalama iliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Dk. Bilal avipasha vyombo vya ulinzi na usalama, waandishi wa habari


NA WILLIAM SHECHAMBO
MAKAMU wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama  na waandishi wa habari nchini kushirikiana  katika majukumu yao ya kazi ili kulinda amani ya nchi.
Pia amezitaka taasisi hizo kuzingatia mipaka yao na  katika utendaji ili kuepuka migongano au chuki zinazoweza kutokea wakati wa kutimiza wajibu wao kazini.
Alitoa wito hiyo katika hoteli ya Hyatt Regency, Dar es Salaam,  jana, alipokuwa akifungua  mkutano  wa mashauriano  kati ya vyombo vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani