Wabunge waomba ulinzi wa polisi
BAADHI ya wabunge wameitaka Serikali kuona umuhimu wa kuwawekea ulinzi wabunge na viongozi wengine wa Serikali bila upendeleo, kwa kuwa wanaishi katika maisha ya hofu na hatarishi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo08 May
Wabunge waomba ofisi wakiwa Dodoma
WABUNGE wameendelea kupigia debe maslahi mazuri sanjari na mazingira bora ya kufanyia kazi kwa kutaka pamoja na masuala mengine, serikali iangalie uwezekano wa kumpatia kila mbunge ofisi ya kufanyia kazi awapo Dodoma.
10 years ago
BBCSwahili19 Jun
Wabunge waomba msamaha Hong Kong
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
Wabunge kutaka wapewe ulinzi ni ubinafsi uliokithiri!
HAPANA! Wanasema ni ulevi wa madaraka. Lakini nini kimesababisha ulevi huu jamani? Nasikia sasa kuna mbunge keshaona ya ulimwengu huu aliyonayo hayamtoshi sasa anataka apewe ulinzi. Ebo! Kwani yamekuwa hayo sasa kwa wabunge...
11 years ago
Habarileo27 Apr
Wanachuo Hombolo waomba ajira Polisi
WANACHUO 600 wa Chuo cha Serikali za Mitaa cha Hombolo, Dodoma waliopata mafunzo ya Polisi Jamii na Ulinzi Shirikishi, wameliomba Jeshi la Polisi nchini kuangalia namna ya kuajiri wahitimu kutoka chuo hicho katika nafasi mbalimbali.
9 years ago
Habarileo12 Sep
Polisi Kanda Maalumu waomba utulivu
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limejiandaa kikamilifu kulinda amani na usalama wa nchi katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi na wakati wa uchaguzi mkuu na kutoa onyo kwa wale watakaovuruga amani na usalama, kwani wakibainika watashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria.
11 years ago
BBCSwahili02 May
Polisi Nigeria:Waomba picha za wanafunzi
10 years ago
Mtanzania22 Aug
Polisi waomba ushirikiano kukabili mauaji ya albino
![Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Isaya-Mngulu.jpg)
Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MKURUGENZI wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu, amesema vitendo vya mauaji ya albino vimeanza kushamiri tena katika baadhi ya maeneo nchini.
Amesema kutokana na hali hiyo, jeshi la polisi limewaomba wananchi, asasi za raia, viongozi wa dini na wanasiasa kushirikiana nao waweze kukamata mtandao wa watu wanaojihusisha na shughuli hizo na kuwachukulia hatua.
Alisema kuwa vitendo hivyo vinahusishwa moja...
10 years ago
Habarileo17 Apr
CCM waomba polisi kupewa vitendea kazi
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na watendaji wa Serikali wilayani Kyerwa mkoani Kagera wameishauri na kuiomba Serikali kuboresha na kuongeza vitendea kazi ikiwemo magari ya Polisi kwa ajili ya kufanyia doria ili kudhibiti magendo ya rasilimali za nchi zinazovushwa na baadhi ya Watanzania wasiokuwa wazalendo.
10 years ago
Habarileo31 Dec
Polisi waomba CCTV Mji Mkongwe kukabili uhalifu
JESHI la Polisi Zanzibar limeitaka Serikali pamoja na taasisi binafsi sekta ya utalii kuangalia uwezekano wa kupatikana kwa huduma za kamera (CCTV) za kuchunguza matukio ya uhalifu katika maeneo ya Mji Mkongwe ili kupambana na vitendo hivyo ambavyo vinalipaka matope jina zuri la Zanzibar.