Nusu ya wabunge hawatarudi bungeni mwakani
Wakati Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likiendelea na vikao vyake mjini Dodoma, imeelezwa kwamba nusu ya wabunge 239 wa kuchaguliwa waliopo sasa, watabwagwa katika Uchaguzi Mkuu 2015.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi03 Aug
Katiba mkwamo; Ukawa wasisitiza hawatarudi bungeni
10 years ago
CloudsFM14 Nov
NUSU YA WABUNGE WOTE WACHOKWA MAJIMBONI
KARIBU nusu ya wabunge wa majimbo yote ya uchaguzi nchini, wapo hatarini kuangushwa na wapigakura wao katika katika uchaguzi mkuu wa mwakani, kutokana na kutotekeleza ahadi walizotoa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.
Asilimia 47 ya Watanzania wote, wameweka wazi kutowapigia kura wabunge wao, kutokana na kushindwa kuzitekeleza au kuzitekeleza kwa kiwango kidogo ahadi, walizotoa wa kampeni za uchaguzi.
Ahadi hizo zilihusisha kuboresha barabara, miradi ya maji, kujenga hospitali na zahanati,...
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Wabunge 33 wapitisha muswada bungeni
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Wabunge Chadema waumbuana bungeni
10 years ago
Mwananchi16 May
Wabunge wa CCM nusura wazichape bungeni
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Wabunge waumbuana kupokea rushwa bungeni
10 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-EyN4IK4lOu8/VG3rd8uRriI/AAAAAAAANPU/Q8MSxbaADIQ/s640/ndugai.jpg)
SAKATA LA TEGETA ESCROW, WABUNGE WAKINUKISHA BUNGENI
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-7TqmZ_9E_ss/XrvoW85F2iI/AAAAAAALqEc/QBxGMtsZRuk-wEzaH6GEmJpNcmViSpPgwCLcBGAsYHQ/s72-c/PAZURI.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima04 Dec
‘Operesheni Delete’ wabunge waliotetea Escrow bungeni yaiva
DHAMBI ya uchotaji mabilioni ya pesa katika akaunti ya Tegeta Escrow bado inaendelea kuwatafuna wanasiasa nchini. wakati umma wa Watanzania ukisubiri hukumu ya mwisho itakayotolewa na Rais Jakaya Kikwete dhidi...