Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WABUNGE 15 WA CHADEMA WAPIGWA STOP KUINGIA BUNGENI



CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wabunge Chadema waumbuana bungeni

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) amemshukia Leticia Nyerere (Viti Maalumu-Chadema) kwa kumtaka aende CCM kwa sababu bado Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete ana nafasi za kuteuwa wabunge. Hadi sasa Rais Kikwete ameshateua wabunge wanane kati ya nafasi 10 alizopewa kikatiba.

 

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AWATAKA WABUNGE CHADEMA KURUDISHA POSHO WALIOZOCHUKUA BUNGENI

*Pia aagiza warudi bungeni haraka wakiwa na vipimo vyao vya majibu ya Corona
*Watakaogoma majina yao kukabidhiwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama

Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
SPIKA wa Bunge Job Ndugai amekunjua makucha yake kwa wabunge wa Chadema ambao wametoroka Bungeni wakiongozwa na Freeman Mbowe huku akiwataka warudi bungeni haraka iwezekanavyo na fedha za posho wamechukua kwa siku 14 wanatakiwa kuzirudisha kwa kuziweka katika akaunti ya Bunge.
Pia Spika Ngugai amewaagiza wabunge hao kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mawaziri wapigwa ‘stop’ ziara za JK

Katika kile kinachoonekana kutaka mawaziri washiriki vikao vya kamati za Bunge la Katiba ili kukidhi matakwa ya akidi, Rais Jakaya Kikwete amesema hakuna ulazima wa mawaziri kuambatana naye kwenye ziara zake mikoani, badala yao wawepo makatibu wakuu wa wizara kama wanahitajika.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tambaza wapigwa ‘stop’ Kinondoni

MEYA wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda, amesema manispaa hiyo haiwatambui, watu wa Kampuni ya Udalali ya Tambaza wanaofanya kazi ya kuwatapeli wananchi katika Manispaa hiyo. Alisema kimsingi mkataba wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Matajiri wapigwa stop urais CCM

Mohamme+Seif+KhatibELIZABETH MJATTA (DAR) NA DEBORA SANJA (DODOMA)

SIKU chache baada ya Watendaji Wakuu wa Kampuni Binafsi nchini (CEO,s RoundTable) kutoa matangazo ya kufanya mdahalo na makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliochukua fomu ya kuwania urais, ili kuwapima kupitia mjadala huo ambao pamoja na mambo mengine ungejadili maslahi mapana yanayohusu uchumi, chama hicho kimepiga marufuku wanachama wake hao kujihusisha katika midahalo yoyote ile.
Kabla ya kupigwa marufuku, matangazo yaliyokuwa yakitolewa...

 

10 years ago

Mwananchi

Waandishi wa habari za Bunge wapigwa ‘stop’

Waandishi wa habari za Bunge la Katiba wamezuiwa kuingia ndani ya viwanja vya Bunge wakati semina ya wajumbe wa Bunge hilo Maalumu zikiendelea

 

11 years ago

GPL

Usajili wa Mamilioni Simba wapigwa Stop

Kikosi cha timu ya Simba SC. Na Hans Mloli
MIKAKATI mingi katika kipindi hiki cha usajili mkali na wa umakini zaidi kwa ajili ya msimu ujao inaendele na sasa Simba wamekubaliana kutofanya tena usajili wa gharama wa mamilioni ya shilingi kutokana na sababu mbalimbali. Mpaka sasa Simba haijafanya usajili wa mchezaji yeyote zaidi ya kuwatema baadhi ya wachezaji wao huku ikielezwa kuwa, lengo lao ni kufanya usajili wa siri mno na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wenyeviti wa vijiji Bukoba wapigwa ‘stop’

WENYEVITI wa vijiji na vitongoji katika Halmashauri ya Bukoba wamezuiwa kugawa au kuuza ardhi kwa wananchi kinyume na sheria. Amri hiyo imetolewa jana na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bukoba, Kapteni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UDA wapigwa ‘stop’ kuendeleza ujenzi Mbagala

SAKATA la mzozo wa ardhi kati ya Kampuni ya Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) inayomilikiwa na Robert Kisena na mfanyabiashara Alex Msama limeingia katika hatua mpya baada ya Kamati ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani