Waandishi wa habari za Bunge wapigwa ‘stop’
Waandishi wa habari za Bunge la Katiba wamezuiwa kuingia ndani ya viwanja vya Bunge wakati semina ya wajumbe wa Bunge hilo Maalumu zikiendelea
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWaandishi wa habari wapigwa msasa kuhusu namna bora ya kuimarisha uandishi wa habari za shughuli za Bunge
11 years ago
Habarileo07 Mar
Bunge la Katiba lawapiga ‘stop’ waandishi
BUNGE Maalumu la Katiba, limewazuia waandishi wa habari kuhudhuria vikao vya kamati zitakazokuwa zinajadili rasimu ya Katiba mpya. Badala yake waandishi wa habari watapewa taarifa na wenyeviti wa kamati hizo au wajumbe watakaopewa ruhusa na wenyeviti wao, mara watakapoafikiana kwenye vikao hivyo.
10 years ago
Dewji Blog08 Sep
Wanahabari wapigwa msasa kuhusu namna bora ya kuimarisha uandishi wa habari za shughuli za Bunge
Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Itifaki wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa ajili ya waandishi wa habari kuhusu kuimarisha Uandishi wa Habari za shughuli za Bunge iliyofanyika tarehe 6 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa African Dreams Conference mjini Dodoma. Kulia ni Mshauri wa mambo ya Kiufundi toka Shirika la UNDP, Bi. Anna Kochannesyan.
Na Magreth Kinabo, Maelezo.
WAANDISHI wa habari nchini wameaaswa...
11 years ago
MichuziMWENYEKITI WA KAMATI NAMBA 1 YA BUNGE LA KATIBA AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI MJINI DODOMA
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YRbabiy2Hs0/VAwXMUMZuxI/AAAAAAAGgwM/i5tzTicSBEs/s72-c/BUNGE-MAALUMU-LA-KATIBA.jpg)
WELEDI NA KUZINGATIA MAADILI YA UANDISHI WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALU LA KATIBA KUTALETA TIJA KWA WAANDISHI WA HABARI
![](http://2.bp.blogspot.com/-YRbabiy2Hs0/VAwXMUMZuxI/AAAAAAAGgwM/i5tzTicSBEs/s1600/BUNGE-MAALUMU-LA-KATIBA.jpg)
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
Kanuni za Bunge Maalum hususani Kanuni ya 77 inawataka waandishi wa habari kuandika habari za Bunge Maalum kwa weledi mkubwa na kuzingatia maadili ya uandishi wa habari ili kujiepusha na uandishi wenye utashi na ushabiki wa kisiasa, msukumo binafsi, chuki ama uchochezi na wakati mwingine uongo wa makusudi.
Aidha, katika Kanuni hiyo hiyo ya 77(3) inatamka bayana ya kuwa “Katibu anaweza wakati wowote kuondoa ruhusa aliyotoa kwa mwakilishi wa Chombo chochote...
10 years ago
Dewji Blog07 Sep
Weledi na kuzingatia maadili ya uandishi wa shughuli za Bunge Maalum la Katiba kutaleta tija kwa waandishi wa habari
Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Itifaki wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa ajili ya waandishi wa habari kuhusu kuimarisha Uandishi wa Habari za shughuli za Bunge iliyofanyika tarehe 6 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa African Dreams mjini Dodoma. Kulia ni Mshauri wa mambo ya Kiufundi toka Shirika la Kimataifa la UNDP, Bi. Anna Kochannesyan.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
Kanuni za Bunge Maalum hususani...
10 years ago
Tanzania Daima09 Nov
Tambaza wapigwa ‘stop’ Kinondoni
MEYA wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda, amesema manispaa hiyo haiwatambui, watu wa Kampuni ya Udalali ya Tambaza wanaofanya kazi ya kuwatapeli wananchi katika Manispaa hiyo. Alisema kimsingi mkataba wa...
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Mawaziri wapigwa ‘stop’ ziara za JK
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yIXIyC531WATh7r6n8YU2pYXN5QOKUTude3m1PavRLBnaD3GphiMPSLzidm6V0l-eWAVWx0UBc6JpIWJ0-NVI2G/simba.gif?width=650)
Usajili wa Mamilioni Simba wapigwa Stop