Bunge la Katiba lawapiga ‘stop’ waandishi
BUNGE Maalumu la Katiba, limewazuia waandishi wa habari kuhudhuria vikao vya kamati zitakazokuwa zinajadili rasimu ya Katiba mpya. Badala yake waandishi wa habari watapewa taarifa na wenyeviti wa kamati hizo au wajumbe watakaopewa ruhusa na wenyeviti wao, mara watakapoafikiana kwenye vikao hivyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Waandishi wa habari za Bunge wapigwa ‘stop’
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7TqmZ_9E_ss/XrvoW85F2iI/AAAAAAALqEc/QBxGMtsZRuk-wEzaH6GEmJpNcmViSpPgwCLcBGAsYHQ/s72-c/PAZURI.jpg)
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Waandishi waonja chungu ya makali ya kanuni ya mavazi Bunge la Katiba
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/DSC_0641.jpg?width=640)
WAANDISHI WAHIMIZWA KUZINGATIA MAADILI KWENYE KURIPOTI BUNGE LA KATIBA
11 years ago
MichuziMWENYEKITI WA KAMATI NAMBA 1 YA BUNGE LA KATIBA AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI MJINI DODOMA
10 years ago
Dewji Blog07 Sep
Weledi na kuzingatia maadili ya uandishi wa shughuli za Bunge Maalum la Katiba kutaleta tija kwa waandishi wa habari
Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Itifaki wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa ajili ya waandishi wa habari kuhusu kuimarisha Uandishi wa Habari za shughuli za Bunge iliyofanyika tarehe 6 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa African Dreams mjini Dodoma. Kulia ni Mshauri wa mambo ya Kiufundi toka Shirika la Kimataifa la UNDP, Bi. Anna Kochannesyan.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
Kanuni za Bunge Maalum hususani...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YRbabiy2Hs0/VAwXMUMZuxI/AAAAAAAGgwM/i5tzTicSBEs/s72-c/BUNGE-MAALUMU-LA-KATIBA.jpg)
WELEDI NA KUZINGATIA MAADILI YA UANDISHI WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALU LA KATIBA KUTALETA TIJA KWA WAANDISHI WA HABARI
![](http://2.bp.blogspot.com/-YRbabiy2Hs0/VAwXMUMZuxI/AAAAAAAGgwM/i5tzTicSBEs/s1600/BUNGE-MAALUMU-LA-KATIBA.jpg)
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
Kanuni za Bunge Maalum hususani Kanuni ya 77 inawataka waandishi wa habari kuandika habari za Bunge Maalum kwa weledi mkubwa na kuzingatia maadili ya uandishi wa habari ili kujiepusha na uandishi wenye utashi na ushabiki wa kisiasa, msukumo binafsi, chuki ama uchochezi na wakati mwingine uongo wa makusudi.
Aidha, katika Kanuni hiyo hiyo ya 77(3) inatamka bayana ya kuwa “Katibu anaweza wakati wowote kuondoa ruhusa aliyotoa kwa mwakilishi wa Chombo chochote...