Waandishi waonja chungu ya makali ya kanuni ya mavazi Bunge la Katiba
>Wakati mapendekezo ya Rasimu ya Kanuni za Bunge Maalumu la Katiba haijapitishwa, maofisa usalama jana walianza kuzitumia kanuni hizo kuwazuia wanawake waliovaa nguo fupi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Mavazi Bunge la Katiba kizungumkuti
Wakati kanuni za uvaaji wa wajumbe wa Bunge la Katiba zikiandaliwa, mavazi kwa wageni na watumishi bado ni kizungumkuti baada walinzi kuwaruhusu waliovaa suruali aina ya `jeans’, kaptula na vipedo huku wengine wakizuiwa kuingia na nguo hizo.
11 years ago
Michuzi27 Feb
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Bunge Maalumu la Katiba limekosa kanuni
HIVI Watanzania tunapata muda wa kujihoji ni sababu gani zimetufanya tufike hapa tulipo? Ni kwanini wananchi wengi walidai au kuhitaji Katiba mpya ya Tanzania kwa kipindi chote hiki? Tunajiuliza ni...
11 years ago
Mwananchi04 May
Mahalu: Tatizo la Bunge la Katiba si kanuni
Bunge Maalumu limeshuhudiwa likigawanyika, baada ya upande unaojitanabaisha kama Umoja wa Katiba ya Wananchi, (Ukawa) kususia vikao vyake, huku upande mwingine ukibaki ukumbini kuendelea na mjadala katika Sura ya kwanza na Sita za Rasimu ya Katiba.
11 years ago
Michuzi15 Mar
Mkipuuza kanuni, tusilaumiane,' Sitta alionya Bunge la Katiba
Courtesy of Mwananchi Communications Limited (MCL)
11 years ago
Michuzi18 Mar
11 years ago
Michuzi05 Aug
11 years ago
Mwananchi10 Mar
Bunge la Katiba: Kanuni zisilazimishe kura ya wazi, usiri? [VIDEO]
Ushauri huo umetolewa na mwenyekiti wa Kamati hiyo, Prof. Costa Ricky Mahalu katika semina iliyohitimishwa leo asubuhi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania