Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BUNGE LAWAPIGA MARUFUKU WABUNGE 15 KUINGIA MAENEO YA BUNGE KUANZIA LEO



Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Bunge la Katiba lawapiga ‘stop’ waandishi

BUNGE Maalumu la Katiba, limewazuia waandishi wa habari kuhudhuria vikao vya kamati zitakazokuwa zinajadili rasimu ya Katiba mpya. Badala yake waandishi wa habari watapewa taarifa na wenyeviti wa kamati hizo au wajumbe watakaopewa ruhusa na wenyeviti wao, mara watakapoafikiana kwenye vikao hivyo.

 

11 years ago

Michuzi

Wabunge Bunge la SADC wamchagua Mh. Makinda kuwa Rais mpya wa Bunge hilo

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisoma hotuba yake ya shukrani kwa wajumbe wa Mkutano wa 36 wa Bunge la SADC ambao ni Maspika na Wabunge kutoka Mabunge ya nchi wanachama wa wa SADC baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Bunge hilo kwa miaka miwili ijayo Mjini Victoria Falls, Zimbabwe. Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akielekezwa jambo na Katibu Mkuu wa Bunge la SADC Dkt. Esau Chiviya mara baada ya kukalia kiti cha Urais wa Bunge hilo baada ya kuchaguliwa rasmi kuwa rais wa Bunge hilo.Spika wa...

 

11 years ago

Michuzi

WABUNGE WA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) NA SAKATA LA KUTAKA KUMVUA MADARAKA SPIKA WA BUNGE HILO

Mwenyekiti wa Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) wa Tanzania, Adam Kimbisa, akifafanua jambo wakati wa mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu sakata la kutaka kumvua madaraka Spika wa Bunge hilo. Kulia ni mbunge wa bunge hilo, Twaha Taslima na Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose  Bhanji. Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose  Bhanji akifafanua jambo wakati wa mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu sakata la kutaka kumvua madaraka...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA BUNGE LA SADC NA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MHE. ANNE MAKINDA ASHIRIKI MISA MAALUM YA KUMWOMBEA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA MAREHEMU MICHAEL SATA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE LA ZAMBIA MJINI LUSAKA LEO

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Sata ukiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia leo tayari kwa misa Maalum iliyoandaliwa kabla ya mazishi kufanyika hapo kesho.Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata kabla ya maziko yake kufanyika hapo kesho.Aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu wa Zambia Mhe. Lupia Banda...

 

11 years ago

Michuzi

Baadhi ya wajumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni za bunge maalumu wakijibu hoja za wabunge leo

 Mjumbe Mhe. Tundu Lissu akitoa ufafanuzi ya moja ya hoja zilizowekwa mezani na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakati wa majadiliano ya rasimu za kanuni  Mjumbe Mhe Evod Mmanda akijibu hoja Mjumbe Mhe. George Simbachawene akitoa ufafanuzi.  Mjumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni  ambaye pia anatoka kundi la walemavu Mhe. Amon Anastaz Mpanju akijibu hoja za wabunge. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii

 

5 years ago

CCM Blog

KUINGIA BUGANDO KUANZIA LEO LAZIMA KUVAA BARAKOA


  Kuanzia leo Aprili 24, 2020, mtu yeyote yule, wakiwemo wagonjwa ama ndugu za wagonjwa atakayeingia katika Hospitali ya Bugando  jijini Mwanza, atatakiwa kuvaa barakoa na kuirejesha getini kabla ya kutoka, ikiwa ni hatua ya kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona.

 

10 years ago

Michuzi

SPIKA WA BUNGE MHE. ANNE MAKINDA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA TUME YA UTUMISHI YA BUNGE LA NIGERIA OFISINI KWAKE LEO

 Spika wa Bunge ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume  ya Utumishi ya Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiongea na  Ujumbe wa Tume ya Utumishi kutoka Bunge la Nigeria walipomtembelea leo Ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Ujumbe huo upo nchini kwa lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya Utumishi na Uendeshaji wa Bunge ambapo Mhe. Makinda aliambatana na wajumbe wa Tume ya Bunge la Tanzania. Kulia kwake ni Kiongozi wa Msafara wa Tume hiyo Mhe. Yepwi Stephen Dako. Bunge la Tanzania leo kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani