Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWENYEKITI WA KAMATI NAMBA 1 YA BUNGE LA KATIBA AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati Nambari 1 ya Bunge Maalum la katiba, Ummy Mwalimu (kulia) akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kuongoza kikao cha Kamati hiyo kwenye Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma  leo Aprili 2, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMATI ZA BUNGE LA KATIBA ZAKUTANA MJINI DODOMA LEO

Makamu Mwenyekiti wa Kamati Namba 11 ya Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Hamad Yussuf Massauni akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper kuhusu mambo yaliyojiri katika Kamati yake.Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo Bakari Kishoma.Baadhi wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wa Kamati Namba 11 wakiwa wanaendelea na kikao cha Kamati hiyo mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper.Mwenyekiti wa Kamati Namba Moja ya Bunge Maalum la Katiba,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati za Bunge Maalum la Katiba zaendelea kukutana mjini Dodoma

DSC04200

Mwenyekiti wa Kamati Namba Tano ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Hamad Rashid (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu mambo yaliyojiri katika Kamati yake leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Hazina mjini Dodoma.Kulia ni Makamu wake Mhe. Assumpter Mshama.

IMG_9260

Mwenyekiti wa Kamati  Namba 12 ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Paul Kimiti (katikati) akijadiliana jambo  na baadhi ya wajumbe wa Kamati yake yake leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Hazina mjini Dodoma.

DSC04171

 Baadhi ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda akiwa kwenye kikao cha kamati ya Bunge la Katiba mjini Dodoma

PG4A9087

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya wajumbe wa Kamati mbalimbali za Bnge  Maalum la katiba kwenye viwanja  vya hoteli ya St. Gaspar mjini Dodoma Agosti 7, 2014 ambako  vikao vya kamati nne vinafanyika.  Kutoka kushoto ni  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utaala Bora, Capt George Mkuchika,  Faida Bakari na Dr. Ave Maria Semakafu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) .

PG4A9097

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Samia Suluhu arudisha Fomu ya kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bunge Maalum la Katiba mjini dodoma leo

Kina Mama wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakimsindikiza Mjumbe wa Bunge Hilo na Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Bi. Samia Suluhu Hassan(Aliyenyanyua fomu)kurudisha fomu kwa Katibu wa Bunge Mapema Leo asubuhi Mjini Dodoma. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Thomas Kashilila akitoa maelekezo kwa wapambe wa mgombea Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba kabla ya kupokea Fomu hizo Mapema Leo asubuhi Mjini Dodoma. Mjumbe wa...

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA NA SERIKALI PAMOJA NA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MJINI DODOMA LEO

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiwa ni kikao cha maridhiano kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2014/2014. kikao hicho kiliudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Pinda, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya. Picha kwa hisani ya Bunge  Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya...

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA AVITAKA VYOMBO VYA HABARI KUANDIKA HABARI BILA KUPOTOSHA UMMA

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongea na waandishi wa Habari huku akiwaasa kuacha chuki katika masuala yanayohusu mchakato wa Katiba. Mjumbe wa Kamati Namba Nne…

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba avitaka Vyombo vya Habari kuandika habari bila kupotosha Umma.

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongea na waandishi wa Habari huku akiwaasa kuacha chuki katika masuala yanayohusu mchakato wa Katiba.Mjumbe wa Kamati Namba Nne ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Christopher Ole Sendeka akiongea na wandishi wa Habari kuhusu kazi na majukumu ya Kamati yake leo 28 Agosti, 2014. Mjumbe wa Kamati Namba Tatu ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Dkt. Francis Michael akiongea na wandishi wa Habari kuhusu kazi na majukumu ya Kamati yake...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Mwanasheria Mkuu amewasilisha Mahakamani pingamizi la awali dhidi ya kesi ya kuhoji mamlaka ya Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Said Kubenea

Na Mwene Said wa Blog ya Jamii
NAIBU Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, leo amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya kesi ya kuhoji mamlaka ya  Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma iliyofunguliwa na  Mwandishi wa Habari Said Kubenea dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kwamba maombi hayo ni batili kisheria na hayawezi kuthibitishwa mahakamani, hivyo yatupiliwe mbali.
Masaju amewasilisha pingamizi hilo akitoa sababu nne, akiitaka mahakama kutupilia mbali maombi yaliyopo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani