Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge 150 wasimama kuhesabiwa kwa Lowassa

EdwardLowassaNa Mwandishi Wetu, Dodoma
WABUNGE 150 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamemwomba Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, muda ukifika achukue fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Kauli hiyo waliitoa juzi mjini hapa katika hafla ya chakula cha jioni iliyofanyika Kilimani nyumbani kwa kigogo mmoja wa CCM ambaye aliwaalika wabunge wa chama hicho akiwemo Lowassa.
Wakizungumza katika ghafla hiyo wabunge...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wa CCM wasimama kidete kumtetea Waziri Mkuu

Katika mjadala kuhusu kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow, wabunge wa CCM walisimama kidete kumtetea Waziri Mkuu Mizengo Pinda, baadhi yao wakisisitiza waliobaki lazima wajiuzulu na kuchukuliwa hatua za kisheria.

 

9 years ago

Habarileo

Kura Kahama kuhesabiwa kwa DC

MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Kahama, Underson Msumba amesema atalamizika kuhamishia shughuli za kuhesabu kura za urais, ubunge na udiwani kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya kutokana na ofisi yake kuwa jirani na ofisi za vyama mbalimbali vya siasa.

 

10 years ago

Vijimambo

MAFURIKO YA LOWASSA YAHAMIA JIJINI DAR, AKOMBA UDHAMINI WA WANACCM 212, 150

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akifurahia jambo wakati Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Ramadhan Madabida (hayupo pichani) akizungumza jambo, wakati Mh. Lowassa alipofika ofisi ya CCM Mkoa huo, Mtaa wa Lumumba, leo Juni 27, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZIMwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Ramadhan Madabida akizungumza jambo kumuhusu, Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward...

 

9 years ago

BBCSwahili

MOJA KWA MOJA:KUHESABIWA KWA KURA TANZANIA

Kura zinahesabiwa Tanzania baada ya uchaguzi kufanyika Jumapili kumchagua mrithi wa Rais Jakaya Kikwete.

 

10 years ago

Dewji Blog

Hazina SACCOS yakadhi hati za viwanja ambavyo ni rasmi zaidi kwa 150 kwa wanachama

01

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (wa pili kulia) akiwasili viwanja vya Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam wakati wa ufunguzi wa  Mkutano Mkuu wa Mwaka wa siku mbili (Disemba 20-21) wa wanachama wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina, mkutano huo unaongozwa na kauli mbiu isemayo “Viwanja Rasmi Suluhisho la Makazi Bora”. Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina Eligius Mwankenja.   02 Waziri wa Fedha Saada Mkuya...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wa Chadema wamkaribisha Lowassa

>Baadhi ya wabunge wa Chadema wamezungumzia taarifa zinazosambaa zikieleza kuwapo mkakati wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuhamia katika chama hicho, wengi wao wakimkaribisha.

 

10 years ago

Michuzi

150 KORTINI KWA KUJIANDIKISHA MARA MBILI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGAKURA KWA MFUMO MPYA BVR

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema watu 152 watafikishwa mahakamani mkoani Njombe kutokana na kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo mpya wa ‘Biometric Voter Registration Kit’ (BVR).
Aidha, imeeleza kuwa kata 130 zimeongezeka kutokana na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kufanya mabadiliko ya kiutawala katika kata, vijiji,vitongoji na Mitaa hivyo kulazimu NEC kuhairisha kwa wiki moja uandikishaji wa daftari uliokuwa ukianza jana kwa baadhi...

 

10 years ago

Vijimambo

Wabunge wambeba Lowassa mbio urais

 Wakutana Dodoma, wamshawishi achukue fomu , Wamo kutoka Dar, Tanga, Singida, Ruvuma, KageraMbio za kuusaka urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimezidi kupamba moto baada ya kundi la wabunge wapatao 150 kujitokeza hadharani na kueleza kumuunga mkono mmoja wa wanaotajwa kuwa wagombea, Edward Lowassa, wakimtaka kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho.

Hali hiyo inajitokeza wakati wa Mkutano wa Bunge wa 18 ukihitimishwa mwishoni mwa wiki na kubakia miwili tu Bunge la 10 kufikia tamati, hivyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wahoji tena Lowassa kutosafishwa

Dodoma/Dar.  Siku moja baada ya Ikulu kulaumiwa bungeni kwa kuwasafisha baadhi ya vigogo waliohusishwa na kashfa ya escrow, mbunge mwingine ameibuka akihoji kwa nini Edward Lowassa asisafishwe dhidi ya kashfa ya Richmond iliyomfanya aachie wadhifa wa uwaziri mkuu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani