Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge wa CCM wasimama kidete kumtetea Waziri Mkuu

Katika mjadala kuhusu kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow, wabunge wa CCM walisimama kidete kumtetea Waziri Mkuu Mizengo Pinda, baadhi yao wakisisitiza waliobaki lazima wajiuzulu na kuchukuliwa hatua za kisheria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wa CCM wamgomea Waziri Mkuu Pinda

>Wabunge wa CCM jana mchana walimgomea Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge (Party Cocas) ya chama hicho, Mizengo Pinda na kushinikiza mawaziri watatu ambao wizara zao zimetajwa kushindwa kusimamia vyema Operesheni Tokomeza Ujangili wajiuzulu.

 

10 years ago

Mtanzania

Wabunge 150 wasimama kuhesabiwa kwa Lowassa

EdwardLowassaNa Mwandishi Wetu, Dodoma
WABUNGE 150 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamemwomba Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, muda ukifika achukue fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Kauli hiyo waliitoa juzi mjini hapa katika hafla ya chakula cha jioni iliyofanyika Kilimani nyumbani kwa kigogo mmoja wa CCM ambaye aliwaalika wabunge wa chama hicho akiwemo Lowassa.
Wakizungumza katika ghafla hiyo wabunge...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge waahidi kumtetea Shy-Rose

MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki, Twaha Tasilima, amesema wabunge wenzake wa Tanzania waliopo kwenye Bunge hilo, watasimama kidete kumtetea mbunge mwenzao, Shy-Rose Bhanji kwani hajatendewa haki ya kusikilizwa juu ya tuhuma anazoshutumiwa na wenzake.

 

9 years ago

Michuzi

LIVE KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO: WABUNGE WALIPIGIA KURA JINA LA WAZIRI MKUU MKUU MTEULE

Baadhi ya Maafisa wa Bunge wakiwa tayari kwa Zoezi la kupiga kura, wabunge kumthibitisha Waziri Mkuu aliyependekezwa na Rais Dk. John Magufuli, Mhe. Kassim Majaliwa, linaloendelea hivi sasa Bungeni Mjini Dodoma.Zoezi la kupiga kura likiendelea kwa Wabunge Mjini Dodoma.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KATIKA MAZUNGUMZO NA WABUNGE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Futuma Mikidadi na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Utumishi ya Bunge, Kitolina Kippa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Julai 8, 2015.Waziri Mkuu,Mizego Pinda akizungumza na Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo (wapili kulia) na wabunge wa Viti Maalum (kutoka kushoto) Vicky Kamata, Fatuma Mikidadi, Mariamu Kisanji na Dkt Mary Mwanjelwa kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Julai 8, 2015.(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

GPL

HOJA YA DHARURA: WABUNGE WATAKA WAZIRI MKUU NA CHIKAWE WAWAJIBISHWE

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu. BAADHI ya wabunge waliochangia hoja ya dharura bungeni leo wamewataka Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, wawajibishwe. Hayo yametolewa wakati wa kujadili Hoja ya Dharura kuhusu kupigwa kwa baadhi ya viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) akiwemo mwenyekiti wake, Prof. Ibrahim Lipumba na baadhi ya wanachama wake juzi huko Mtoni-Mtongani jijini...

 

10 years ago

Habarileo

Waziri mwingine, wabunge 4 waanguka kura za maoni CCM

SIKU mbili baada ya mawaziri watano kushindwa katika kura za maoni ya ubunge ndani ya CCM, waziri mwingine, Gaudentia Kabaka anayeshughulikia Kazi na Ajira, naye amedondoshwa katika jimbo la Tarime Mjini.

 

10 years ago

Dewji Blog

Breaking News! Madereva ‘wasimama’ nchi washinikiza wakutane na Wazri Mkuu Pinda kumaliza mgomo wao!

maderw

 

Baadhi ya madereva wa mabasi katika stendi kuu ya Mabasi yaendayo Mkoani na nchi jirani Ubungo,wakishangilia wakiwa na mabango yao yenye  jumbe : “Mabomu tumeyazoea! Tanzania bila madereva haiwezekani! muda huu wakiwa wamejikusanya wakimsubiria Waziri Mkuu Mizengo Pinda afike kuongea nao kufikia suluhu (Picha na Andrew Chale, Modewji blog).

Na Andrew Chale, Modewji blog

Mgomo wa madereva umeibuka tena leo Mei 4 baada ya mabasi na magari ya mizigo kugoma tena kwa mara ya pili kwa lengo la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani