Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU KATIKA MAZUNGUMZO NA WABUNGE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Futuma Mikidadi na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Utumishi ya Bunge, Kitolina Kippa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Julai 8, 2015.Waziri Mkuu,Mizego Pinda akizungumza na Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo (wapili kulia) na wabunge wa Viti Maalum (kutoka kushoto) Vicky Kamata, Fatuma Mikidadi, Mariamu Kisanji na Dkt Mary Mwanjelwa kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Julai 8, 2015.(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKUTANA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE YA BUNGE LA JAMHURI YA KOREA,PIA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA UCHUKUZI WA BURUNDI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Muungano wa Jamhuri ya Korea, Ahn Hong Joon (kulia kwake) na msafara wake baada ya mazungumzo, kwenye makazi ya Waziri Mkuumjini Dodoma Machi 12, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Muungano waJjamhuri ya Korea, Ahn Hong Joon baada ya mazungumzo kwenye makazi ya Waziri Mkuu mjni Dodoma Machi, 12, 2014. Waziri...

 

9 years ago

Michuzi

LIVE KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO: WABUNGE WALIPIGIA KURA JINA LA WAZIRI MKUU MKUU MTEULE

Baadhi ya Maafisa wa Bunge wakiwa tayari kwa Zoezi la kupiga kura, wabunge kumthibitisha Waziri Mkuu aliyependekezwa na Rais Dk. John Magufuli, Mhe. Kassim Majaliwa, linaloendelea hivi sasa Bungeni Mjini Dodoma.Zoezi la kupiga kura likiendelea kwa Wabunge Mjini Dodoma.

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Ikulu Dar es Salam

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Ikulu Dar es salaam

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.(picha na Freddy Maro). Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni, mara baada ya kufanya mazungumzo nae.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wa CCM wamgomea Waziri Mkuu Pinda

>Wabunge wa CCM jana mchana walimgomea Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge (Party Cocas) ya chama hicho, Mizengo Pinda na kushinikiza mawaziri watatu ambao wizara zao zimetajwa kushindwa kusimamia vyema Operesheni Tokomeza Ujangili wajiuzulu.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wa CCM wasimama kidete kumtetea Waziri Mkuu

Katika mjadala kuhusu kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow, wabunge wa CCM walisimama kidete kumtetea Waziri Mkuu Mizengo Pinda, baadhi yao wakisisitiza waliobaki lazima wajiuzulu na kuchukuliwa hatua za kisheria.

 

10 years ago

GPL

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI, PIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA KAMPUNI YA CONTRACTUS YA POLAND

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na balozi wa Kuwait nchini, Mhe Jaseem Al Najem kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 9, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na balozi wa Kuwait nchini, Mhe. Jaseem Al Najem, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 9, 2015. Katikati ni Ofisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani